Watambue wanaume mataira wa JF hapa

Watambue wanaume mataira wa JF hapa

Sidhani kama ni mataahila isipokuwa ndo wanaume pekee wacheshi
Wapenda fulsa na wapendwa urafiki na mahusiano
Wanastahili sifa kwa kweli nani kama wao?
Ndo pekee ambao huwafanya wanawake wajf wajione wana kila sababu ya kuwepo duniani
Ni wao wanaofanya wanawake wadangaji wakapaona jf ni pahala sahihi kwa kudanga
Heko kwenu
 
Kwahiyo kucoment kwenye nyuzi ni utahira kumbe, umewakosea sana ujue [emoji1] watu wanamchangamkia mgeni afeel at home kumbe wewe unaboreka mbaga wee[emoji1]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom