Sidhani kama ni mataahila isipokuwa ndo wanaume pekee wacheshi
Wapenda fulsa na wapendwa urafiki na mahusiano
Wanastahili sifa kwa kweli nani kama wao?
Ndo pekee ambao huwafanya wanawake wajf wajione wana kila sababu ya kuwepo duniani
Ni wao wanaofanya wanawake wadangaji wakapaona jf ni pahala sahihi kwa kudanga
Heko kwenu