Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Mahiti?Ninyi mnapenda mahiti?Hellow
WACHAGA WATANI ZANGU KWANINI MNAOGOPA MAHITI TUJUZENI LABDA KUNA SIRI NDANI YAKE [emoji120][emoji120][emoji120]
Samahani kama nitakuwa nimewakwaza
Mahiti?Ninyi mnapenda mahiti?
Hampendi hila mnaijali na hamuigopi?🤔🤔🤔🤔Hatupendi hila tunaijali na hatuigopi
Hampendi hila mnaijali na hamuigopi?[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
Sawasawa.Tuendelee kula ubwabwa ndugu "Mtanga"!Ndio
Mkuu leo unapost pumba hii post ya kumi so umetumwa?
Kuna chifu kiongoz wa kichaga msibani alikunywa pombe nyingi sana akajikuta kailawiti maiti......
Tangu umejua kuandika saivi ni uzi juu ya uzi BTW Mahiti[emoji735]Maiti[emoji736]
Ulikuwa hujui kwamba kila Mtanzania ana utaalamu wa upelelezi?Lazima "ufwatiliwe"![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe nafwatiliwa na watu wengi na sijui [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]🫡🫡🫡
Ulikuwa hujui kwamba kila Mtanzania ana utaalamu wa upelelezi?Lazima "ufwatiliwe"!