Watanganyika hawana uraia wala nchi kwahivo ni refugees tu ndani ya tz,

Watanganyika hawana uraia wala nchi kwahivo ni refugees tu ndani ya tz,

Bin Faza

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
502
Reaction score
191
Wana JF

Roho inauma na mawzo kichwa tele, kuna mawingu ya giza na kujawa na magharibi ya moyo, ni hunzuni na masikitisho makubwa kuona binadamu anadhalilishwa kisaikolojia ndani ya nchi yake

leo taifa zima la Tanganyika limefanywa refugee katika nchi yao bila kujijuwa, hili linaleta ni aibu na fedheha kuona kati yao hao watangayika hakuna hata mmoja anayethubutu hata kujaribu kujivua status ya urifujii

Kwa mujibu wa sheria za kimataifa mtu asiekuwa na taifa anakuwa hana uraia na hapo alipo anakuwa refugee,

ingawaje watanganyika hawakuondoka kutoka katika ardhi yao, lakini wamenyimwa uraia wao kwasabau taifa lao lilivunjwa pale Tanganyika kama vile mfano lipogaiwa bure kwa nchi ya znz kwa kutumia muungano, kwasabau serikali ya znz ipo na uraia wa znz upo kwahivo tangayika ilisabiliwa znz kiujanja.

leo mtanganyika hana ID inayoonesha kuwa yeye ni mtanganyika, hana serikali inayomtambulisha yeye kuwa ni mtangayika kwahivo hiyo ni sabau tosha kwamba watanganyika ni refugee tu ndnai ya tz.

hii ni changa moto kwa wale wanaopenda kujijuwa
 
Wewe kichaa, umeishiwa mada za uchochezi kuhusu Zanzibar?
Zanzibar sindiyo mnasema mnatawaliwa na Tanganyika? Kwa maana hiyo Wazanzibar ndiyo mbumbumbu kwa kwa kukubali kutawaliwa na Wakimbizi.
 
Wewe kichaa, umeishiwa mada za uchochezi kuhusu Zanzibar?
Zanzibar sindiyo mnasema mnatawaliwa na Tanganyika? Kwa maana hiyo Wazanzibar ndiyo mbumbumbu kwa kwa kukubali kutawaliwa na Wakimbizi.

Mkuu mbona unapapara sana, uchochezi uko wapi hapo

nakuomba ufikiri kwa kina zaidi utagunduwa kwamba wewe huna taifa lako na kwahivo ndio maana huna uraia wa taifa lako

uraia wako a tz ni wa kubandikizwa tu along the way.....ni kama tu wale waliokwenda UK kule wakawa refugees wakapata uraia wa kubandikwa

kuna shida hapo kuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom