Watanganyika! Mkutano wa katiba pakuanzia hapa

mgen

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2010
Posts
23,169
Reaction score
9,054
Ndugu zangu nimeona na haya maono tusiyapuuze! Ila tuyafanyie kazi sivyo tutavuna tutakacho kipanda sasa WAPO WAZALENDO WALIOTUONYESHA NJIA LAKINI VIONGOZI WETU WA WAKATI HUO HAWAKUYAWEKEA MAANANI mawazo yale WAZALENDO HAO NI MAREHEMU JAJI NYALALI JAJI KISANGA.....LICHA YA GHARAMA KUBWA ZA PESA ZILIZOTUMIKA KUKAMILISHA KAZI HIZO KAZI WALIO IFANYA HAIKUTHAMINIWA LEO TUTHAMINI KAZI ZAO NA ZIWE DIRA KWA KUTEKELEZA YALIYOMO KWENYE RIPOTI ZAO hapo ndipo tuanzie mchakato wa mkutano wa KATIBA! mnaonaje WATANGANYIKA?
 
Kwani tunazungumzia Katiba ya Tanzania au Tanganyika?
 
Mwanangu hapo ndio pa kuanzia maana wazenj walifuata hayo maelekezo hata kama sio bayana na sasa wana katiba yao iliyo waundia DOLA Hawata kubali kurudi nyuma wako tayari ili kisieleweke!
 
Back
Top Bottom