Elections 2010 Watanganyika na wazanzibari nani mwenye matatizo?

Elections 2010 Watanganyika na wazanzibari nani mwenye matatizo?

emmanuel1976

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2011
Posts
301
Reaction score
80
Kwa miaka takribani 47 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar bado kuna malalamiko mengi juu ya muungano wenyewe ingawa wana ccm wenyewe wanakaa kwamba hakuna matatizo. Swali langu ni, kati ya watanganyika na wazanzibar nani mwenye matatizo?
 
Back
Top Bottom