emmanuel1976 JF-Expert Member Joined Jun 17, 2011 Posts 301 Reaction score 80 Jun 21, 2011 #1 Kwa miaka takribani 47 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar bado kuna malalamiko mengi juu ya muungano wenyewe ingawa wana ccm wenyewe wanakaa kwamba hakuna matatizo. Swali langu ni, kati ya watanganyika na wazanzibar nani mwenye matatizo?
Kwa miaka takribani 47 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar bado kuna malalamiko mengi juu ya muungano wenyewe ingawa wana ccm wenyewe wanakaa kwamba hakuna matatizo. Swali langu ni, kati ya watanganyika na wazanzibar nani mwenye matatizo?