Watangaza nia na nyimbo wanazosikiliza muda huu na ringtone zao

Watangaza nia na nyimbo wanazosikiliza muda huu na ringtone zao

Lucas

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2011
Posts
2,457
Reaction score
1,110
Wakuu,

Kwa unavyodhani, baaada ya Watanzania kadhaa kutangaza nia, yupi anasikiliza wimbo gani muda huu ama ameweka ringtone gani kwa sasa? Unadhani kati ya wafuatao yupi anasikiliza wimbo upi kati ya zifuatazo hapa???

WATANGAZA NIA
1. Edward Lowassa
2. Mwigulu Nchemba
3. Steve Wassira
4. Prof Muhongo
5. Prof Mwandosya
6. Sumaye
7. Ali Karume
8. Mwanafunzi wa Mzumbe
9. Samwel Sitta
10. Ngeleja

NYIMBO.
1. Chemsha bongo - Hbc
2. Dancing with my father... Luther Vandros
3.Jipe moyo - Flora Mbasha
4. Kasuku - Les Wanyika
5. Majaribu ni mtaji. - Ambwene Mwasongwe
6. Bado nipo nipo sana - Fa
7. Nakomaa nao - East Coast Team
8. Loose yourself - Eminem
9. Sign of victory. - R. Kelly
10. The world's greatest - R. Kelly
11. Waving flag - K.naan

Match the items
 
lowassa anatumia....
dunia haina huruma....bahati bukuku
 
Mwigulu Nchemba 》sign of victory
 
Back
Top Bottom