kasulamkombe
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 2,232
- 2,491
he he he!Wakikaa wote pamoja hizo station nyingine zifungwe?
Tigana mtu wa mchezo SasaKing smash
Queen Fifi
Tigana lukinja
Jef Lea
Huyu mzee uwa sio mchanbuzi ni kichekesho cha uchambuzimaalim kashasha
Wakikaa na Masau Bwire, itakuwa poa.Jecha Salim Jecha
Halafu hachoshi kumsikiliza,,kwangu ndo the best..nampenda sana anajua kwakwelisarah kipingu jaaman uyu dada ana sauti nzuri sana