TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Charles Hillary, Omar Jongo, the late Dominic Chillambo(huyu aliweza kutangaza mara kadhaa dk.90 mwenyewe)
respect mkuumechi ya Simba na Villa mtangazaji alikuwa Charles Hillary na alipoanza kutaja kikosi cha Villa ilikuwa balaa kwani kabla hajafika kwa sentahafu kule mpira ulikuwa umeshaanza na ghafla akakatiza kutaja kikosi cha Villa kisha akapiga yowe la Goooooooooooooooo....halafu akasema ''namna gani pale...ni goal Kick...alikwenda vizuri sana pale Majid Musisi, lakini Frank Kasanga Bwalaya alisimama imara pale...namna gani pale Jamhuri kihwelu Mrema alikuwa kazubaa''....halafu akaendelea kutaja kikosi
mechi ya Simba na Villa mtangazaji alikuwa Charles Hillary na alipoanza kutaja kikosi cha Villa ilikuwa balaa kwani kabla hajafika kwa sentahafu kule mpira ulikuwa umeshaanza na ghafla akakatiza kutaja kikosi cha Villa kisha akapiga yowe la Goooooooooooooooo....halafu akasema ''namna gani pale...ni goal Kick...alikwenda vizuri sana pale Majid Musisi, lakini Frank Kasanga Bwalaya alisimama imara pale...namna gani pale Jamhuri kihwelu Mrema alikuwa kazubaa''....halafu akaendelea kutaja kikosi
Charles hillary, omari jongo, ahmed jongo
Hawa ndio watangazaji wa mpira bora watatu Tanzania kati ya 1985-2011.
1.Sued Mwinyi
2.Jesse John
3.Hamed Jongo
Vigezo nilivyotumia
1. Kutochosha wasikilizaji.
2. kutokuonyesha upendeleo wa timu wakati wa kuzijadili kipindi cha mapumziko.
3.Kuonyesha uzalendo wa hali ya juu wakati wa mechi za kimataifa kwa vilabu au timu za taifa za Tanzania.
Ni maoni yangu binafsi. Wewe orodha yako ikoje?
Wewe ndio mfuatiliaji wa Matangazo ya mpira.
Sio huyo mpayukaji aliyeanzisha thread.
Mpira bila Charles Hillary na Marehemu Omari Jongo haukusikilizika sheikh kwa watu wenye utimamu kichwani.
Wakati huo fundi mitambo kwenye caravan alikuwa Obi Mwambungu
Msimamizi wa matangazo Nadhir Mayoka
Tukirudishwa studio tunapokelewa na Bujaga Izengo Kadago...
puumbav hakuna swedi mwinyi wala sijui maulid kitenge
Yah Mkuu, hapo ni Charles Hillary, Ahmed Jongo, Salim Mbonde, Dominic Chilambo (huyu alikuwa balaa sana wakati anakupa kikosi kaMili cha wana kawekamo TP Lindanda-Pamba ya Mwanza, madata Lubigisa, na wenzie)
hapo fundi mitambo pia alikuwepo Noel Namaloe, Steven Kujumu na fundi Juma Kengele wakiwa kwenye gali lao la matangazo ile "Unimog"