Watangazaji E FM waponda mtindo mpya wa nywele wa Harmonize, waufananisha na wa Harmo Rapa

Watangazaji E FM waponda mtindo mpya wa nywele wa Harmonize, waufananisha na wa Harmo Rapa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Watangazaji wa kipindi cha Transformer cha E FM wamekosoa mtindo mpya wa nywele wa Harmonize, wakifananisha muonekano wake na ule wa msanii Harmo Rapa.
 
Duuuu!!! Wameanza kumgeuka tena wakati alikuwa ndio msanii wao pendwa
 
Back
Top Bottom