Watangazaji hawa ni aibu kwa radio station

Akademician

Senior Member
Joined
May 20, 2015
Posts
143
Reaction score
36
Nimesikitishwa na kushangazwa sana kuona radio Hii,
Tena iliyopo jijini Dar Kuwa na watangazaji wabovu kama hawa.

Hadi mgeni Jide kawaona kituko.

Jionee hapa

 
hvi mbele ni wapi hasa?,mana nimesikia mtangazaj amesema video imefanyika mbele(uganda)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…