Watangazaji kuweni makini na maneno

Watangazaji kuweni makini na maneno

Jacobus

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2011
Posts
4,703
Reaction score
1,724
Wakuu,

Wasafi FM wanatangazo la kutuhimiza kwenda kupiga KURA. Ajabu kabisa hata waliolitengeneza hilo tangazo wameona mtangazaji yupo sasa kusema tukapige KULA tena kwa msisitizo.

Aibu.
 
Taifa la aibu sana hili!
Mimi kuna tangazo liko mijini linanikera sana sana!
Tuna badili line BULE, sijui nini BULE, BULEE hadi aibu! BAKITA wapo!
Anyway ngoja ni vumilie tu maana nasikia wasukuma hawana "R". Hiki ni kipindi cha kukubali Rais kuitwa LAISI, Miradi = MILADI n.k.
 
Wasafi fm ni redio ya kipekee duniani, ni redio yenye washereheshaji wengi kuliko watangazaji
 
Wasafi fm ni redio ya kipekee duniani, ni redio yenye washereheshaji wengi kuliko watangazaji
Clouds imezidi.
Yule jamaa aliyesemaga akamkojolea gf wake bado Yuko kwenye payroll ya clouds?
 
Taifa la aibu sana hili!
Mimi kuna tangazo liko mijini linanikera sana sana!
Tuna badili line BULE, sijui nini BULE, BULEE hadi aibu! BAKITA wapo!
Anyway ngoja ni vumilie tu maana nasikia wasukuma hawana "R". Hiki ni kipindi cha kukubali Rais kuitwa LAISI, Miradi = MILADI n.k.
Ni kuto kua makini hasa wakati watu wakiwa masomoni.
Mimi natokea kwenye kabila ambalo halina R na kiswahili ni lugha yangu ya pili lkn siandikagi l badala ya r.
 
Wamemwiga rais. Yeye kwenye r anaweka l.
Wakuu,

Wasafi FM wanatangazo la kutuhimiza kwenda kupiga KURA. Ajabu kabisa hata waliolitengeneza hilo tangazo wameona mtangazaji yupo sasa kusema tukapige KULA tena kwa msisitizo.

Aibu.
 
Mm najiulizaga hivi hawa radio & TV presenters wamesomea kazi hizo wote au wanabebwabebwa tu ndomana naenjoy sana kuangalia BBC swahili yaani jamaa wanajua sana
 
Lafudhi ni tatizo la mtu binafsi japokua wahusika wa vyombo husika walipaswa kuiona hiyo kasoro na kuirekebisha kabla ya kuliachia hewani labda km walikusudia iwe hivyo.
Hilo ndo tatizo kubwa.
Kampuni ina ruhusu vipi tangazo litoke hewani bila ya kulihakiki?
 
Back
Top Bottom