Mkuu inatakiwa awepo mtu mtaalamu wa lugha na lafudhi pia katika maeneo hayo.
Kuna siku niliskia sehemu wimbo wa rayvani eti talaka anasema taraaaka tena karudia mara kibao nikajiuliza huyu msanii inakuwaje anakosea neno la kawaida kama hili na amezungukwa na watu wengi tu ambao pengine wakawa wanajua neno hilo kwa ufasaha ?