nelly nely
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 665
- 229
Kuna baadhi ya watangazaji wanakera sana,hivi hata hili dogo linahitaji kushikiwa bakora?utakuta mtangazaji badala ya kusema wimbo anatamka 'nyimbo'! kwa mfano,"nyimbo hii aliitunga mwaka 1987!".Namshangaa sana anayejiita diva wa radio ya watu,habadiliki kwa hili!pia yuko Alex Lwambano,michael Baruti,dj faty..........mnaboa jamani.
mara kwa mara huwa lugha yetu adhim inatumika vibaya,kwa waliomstar wa mbele kuchangia hilo ni wahusika wa vyombo vya habari yaani watangazaji na si wao tu hata sisi wananchi bado hatuna utumizi mzur wa lugha hii,kwa mfano kurudi nyuma kwa gar wanaita kupiga CHANYORO,ijapokua sio rasmi kwa sehem husika,nakuichanganya lugha na baadhi ya maneno ya kiingeraza yaan KISWANGLISH,Bado tunahitajika kuitetea lugha hii