Watangazaji na wachambuzi wa Azam TV na usimba na uyanga..

Smart AJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 21, 2022
Posts
5,564
Reaction score
5,884
Si jambo baya wala nini? kila mtu na mapenzi yake bhna..sasa pale azam tv unaweza ukawaona wale jamaa na suti zao ukadhani wanazingatiaga ule weledi wa kubalance hisia kwa kuficha ushabiki ila,sio tu studio hata watangazji wa soka uwanjani wana usimba na uyanga na imekuwa ngumu sana kuficha..

Dominick Salamba -yanga hadi kadi anayo

Patrick Nyembera-simba

Alwatan Ramadhan ngoda-simba

Aliyekuwa mchambuzi-ali kwamwe -yanga

Ali mayay tembele -yanga

Kennedy moses -simba

Salama ngale(......)

Aidan mlimila yanga

Omary katanga -simba

Gift macha-simba

James samweli -yanga

Baraka mpenja-[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]licha ya kujifanya msiri sana ila -simba

Ghalib mzinga-yanga

Hayoub hinjo(.....)

Seif rashid -yanga

ulamaa idd salum kidedea-(......)

Hassan ahmedy(...)

Under 17 hasheem ibwe -simba

Gwalugano mwakalobo-(.....)

Pascal kabombe-simba

Na boss wao mkuu baruan mhuza-simba

KWA KIFUPI HAKUNA HATA MTANGAZAJI MMOJA WA AZAM TV NI SHABIKI WA AZAM FC.

NASKIAGA HATA MMILIKI WA AZAM MEDIA CORPORATION YAANI BAKHRESA NAYE NI SHABIKI WA MOJA WAPO WA TIMU HIZI WA K KOO(MNAIJUA TIMU GANI)[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sasa hapa Tanzania usipokuwa Simba au yanga utakuwa timu gani?

Tambiko la hao wazee sio la kitoto .Mimi niliipenda Simba nilipokuwa nasikiliza redio nasikia jina la madaraka seleman anapiga mashuti ya mbali.nikaona hii ndo timu ya kushabikia.

Mtu akiniambia wewe yanga ilikuwa ni ugomvi mkubwa
 
Hakuna mpenzi wa mpira Tanzania ambaye si mshabiki wa Simba au Yanga.

Kikubwa wakiwa kazini wasiegemee upande ila wakiwa kwenye maisha mengine kila mtu apende anachoona kinamfaa.

Si jambo la heri kujificha upande wako maana hata wachambuzi wakubwa Ulaya timu zao zinafahamika lakini wanatanguliza weledi wa kazi kuliko mahaba ya timu zao
 
Si jambo baya wala nini? kila mtu na mapenzi yake bhna..sasa pale azam tv unaweza ukawaona wale jamaa na suti zao ukadhani wanazingatiaga ule weledi wa kubalance hisia kwa kuficha ushabiki ila,sio tu studio hata watangazji wa soka uwanjani wana usimba na uyanga na imekuwa ngumu sana kuficha..

Dominick Salamba -yanga hadi kadi anayo

Patrick Nyembera-simba

Alwatan Ramadhan ngoda-simba

Aliyekuwa mchambuzi-ali kwamwe -yanga

Ali mayay tembele -yanga

Kennedy moses -simba

Salama ngale(......)

Aidan mlimila yanga

Omary katanga -simba

Gift macha-simba

James samweli -yanga

Baraka mpenja-[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]licha ya kujifanya msiri sana ila -simba

Ghalib mzinga-yanga

Hayoub hinjo(.....)

Seif rashid -yanga

ulamaa idd salum kidedea-(......)

Hassan ahmedy(...)

Under 17 hasheem ibwe -simba

Gwalugano mwakalobo-(.....)

Pascal kabombe-simba

Na boss wao mkuu baruan mhuza-simba

KWA KIFUPI HAKUNA HATA MTANGAZAJI MMOJA WA AZAM TV NI SHABIKI WA AZAM FC.

NASKIAGA HATA MMILIKI WA AZAM MEDIA CORPORATION YAANI BAKHRESA NAYE NI SHABIKI WA MOJA WAPO WA TIMU HIZI WA K KOO(MNAIJUA TIMU GANI)[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa Tanzania hapa hicho kitu cha kawaida kabisa..kwa hao wa kwenye media inawapa shida sana .yaani kama pembe la ng'ombe huwezi kulificha..
 
Yaani umewasema watangazaji na kusahau warusha matangazo mpaka wachanganya picha.

Jana bana baada ya ALH kusawazisha wakati wa replay wakaweka clip shabaki mwanamama wa simba akishangilia, although yule shabiki na ile clip siyo za jana.

Yaani niliona ni kihoja cha kufungia mwaka kwakweli.
 
Si jambo baya wala nini? kila mtu na mapenzi yake bhna..sasa pale azam tv unaweza ukawaona wale jamaa na suti zao ukadhani wanazingatiaga ule weledi wa kubalance hisia kwa kuficha ushabiki ila,sio tu studio hata watangazji wa soka uwanjani wana usimba na uyanga na imekuwa ngumu sana kuficha..

Dominick Salamba -yanga hadi kadi anayo

Patrick Nyembera-simba

Alwatan Ramadhan ngoda-simba

Aliyekuwa mchambuzi-ali kwamwe -yanga

Ali mayay tembele -yanga

Kennedy moses -simba

Salama ngale(......)

Aidan mlimila yanga

Omary katanga -simba

Gift macha-simba

James samweli -yanga

Baraka mpenja-[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]licha ya kujifanya msiri sana ila -simba

Ghalib mzinga-yanga

Hayoub hinjo(.....)

Seif rashid -yanga

ulamaa idd salum kidedea-(......)

Hassan ahmedy(...)

Under 17 hasheem ibwe -simba

Gwalugano mwakalobo-(.....)

Pascal kabombe-simba

Na boss wao mkuu baruan mhuza-simba

KWA KIFUPI HAKUNA HATA MTANGAZAJI MMOJA WA AZAM TV NI SHABIKI WA AZAM FC.

NASKIAGA HATA MMILIKI WA AZAM MEDIA CORPORATION YAANI BAKHRESA NAYE NI SHABIKI WA MOJA WAPO WA TIMU HIZI WA K KOO(MNAIJUA TIMU GANI)[emoji23][emoji23][emoji23]
Azam media na azam fc... Ni kampuni mbili tofauti.. ila zinatoka familia moja..

Kufanya kazi azam media sio lazima uwe shabiki wa azam fc..

Ndio maana azam media hawatoi promo kubwa yoyote kwa azam fc ( wameweka balance na timu zote ) kwa sababu ni kampuni tofauti..
 
Si jambo baya wala nini? kila mtu na mapenzi yake bhna..sasa pale azam tv unaweza ukawaona wale jamaa na suti zao ukadhani wanazingatiaga ule weledi wa kubalance hisia kwa kuficha ushabiki ila,sio tu studio hata watangazji wa soka uwanjani wana usimba na uyanga na imekuwa ngumu sana kuficha..

Dominick Salamba -yanga hadi kadi anayo

Patrick Nyembera-simba

Alwatan Ramadhan ngoda-simba

Aliyekuwa mchambuzi-ali kwamwe -yanga

Ali mayay tembele -yanga

Kennedy moses -simba

Salama ngale(......)

Aidan mlimila yanga

Omary katanga -simba

Gift macha-simba

James samweli -yanga

Baraka mpenja-[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]licha ya kujifanya msiri sana ila -simba

Ghalib mzinga-yanga

Hayoub hinjo(.....)

Seif rashid -yanga

ulamaa idd salum kidedea-(......)

Hassan ahmedy(...)

Under 17 hasheem ibwe -simba

Gwalugano mwakalobo-(.....)

Pascal kabombe-simba

Na boss wao mkuu baruan mhuza-simba

KWA KIFUPI HAKUNA HATA MTANGAZAJI MMOJA WA AZAM TV NI SHABIKI WA AZAM FC.

NASKIAGA HATA MMILIKI WA AZAM MEDIA CORPORATION YAANI BAKHRESA NAYE NI SHABIKI WA MOJA WAPO WA TIMU HIZI WA K KOO(MNAIJUA TIMU GANI)[emoji23][emoji23][emoji23]
Kuna ubaya gani mtu akiipenda timu anayotaka yeye? Hayo ni mambo ya kizamani
 
James samwel ni yanga kweli maana kwenye game atamtaja mayele mara 100.
Mpenja ni simba atamuelezea chama mpaka mic inaloa mate.
Wachezaji kama chama, okrah, sakho hawa wakipoteza mpira utaskia "anakosea anampasia mchezaji wa timu fulani" ila mchezaji mwingine akikosea utaskia pasi mkaa au pasi gimbi ile. Ila mpenja bhna.
 
Si jambo baya wala nini? kila mtu na mapenzi yake bhna..sasa pale azam tv unaweza ukawaona wale jamaa na suti zao ukadhani wanazingatiaga ule weledi wa kubalance hisia kwa kuficha ushabiki ila,sio tu studio hata watangazji wa soka uwanjani wana usimba na uyanga na imekuwa ngumu sana kuficha..

Dominick Salamba -yanga hadi kadi anayo

Patrick Nyembera-simba

Alwatan Ramadhan ngoda-simba

Aliyekuwa mchambuzi-ali kwamwe -yanga

Ali mayay tembele -yanga

Kennedy moses -simba

Salama ngale(......)

Aidan mlimila yanga

Omary katanga -simba

Gift macha-simba

James samweli -yanga

Baraka mpenja-[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]licha ya kujifanya msiri sana ila -simba

Ghalib mzinga-yanga

Hayoub hinjo(.....)

Seif rashid -yanga

ulamaa idd salum kidedea-(......)

Hassan ahmedy(...)

Under 17 hasheem ibwe -simba

Gwalugano mwakalobo-(.....)

Pascal kabombe-simba

Na boss wao mkuu baruan mhuza-simba

KWA KIFUPI HAKUNA HATA MTANGAZAJI MMOJA WA AZAM TV NI SHABIKI WA AZAM FC.

NASKIAGA HATA MMILIKI WA AZAM MEDIA CORPORATION YAANI BAKHRESA NAYE NI SHABIKI WA MOJA WAPO WA TIMU HIZI WA K KOO(MNAIJUA TIMU GANI)[emoji23][emoji23][emoji23]
😁😁😁 ss boss wa azam fc anatakiw awek mzigo mezan wasajili team iwe na upinzan mkubwa... mashabk wa team nyngn wakimbilie azam fc
 
Huyo Salama Ngare ni Mwananchi huyo. Kumgundua ni rahisi sana.

Hashimu Ibwe nilimgundua kupitia utangazaji wake, kama ni simba. Nikishangaa sana alipokubali kwenda kurusha taarifa za pre season za Yanga kule Avic Town Kigamboni.

Salama ngare nlikuwa sijui kwa kweli kumbe ni mwananchi lia lia[emoji1487][emoji1487][emoji1487][emoji1487]
 
Back
Top Bottom