MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
yule aliyekuwa Triple A ya Arusha?? hapo Magic anatangaza kipindi gani sasa hiviVIDA ROY WA MAGIC FM
1.Marehemu David wakati RTD
2.Marehemu Julius nyisanga ancle JJ
3.Ahmed kipozi
4.Marin Hassan Marin
5.Charles Hillary
6.Ivona kamuntu
7.Ally salehe alikuwa bbc zaman ila sasa yupo azam
Kwa hakika masiku yamepita kweli
sent from iPhone 7+ using jamii forums mobile
sent from iPhone 7+ using jamii forums mobile app
Sio jerryson ni gersonOscar Oscar EFM
Jerryson Msigwa Kurugenzi Ya Mawasiliano Ikulu
navutiwa zaidi na watu wenye sauti nzito
Inaanza herufi G badala ya JOscar Oscar EFM
Jerryson Msigwa Kurugenzi Ya Mawasiliano Ikulu
navutiwa zaidi na watu wenye sauti nzito
Ivona ni beauty sana aisee1;Ivona kamuntu. 2;Charlse hillary
Kumbuka kaolewa tu.Ivona ni beauty sana aisee