Watangazaji ninaowazimia(penda)



Huyo Chase Hillary wa kutoka ' Sayari ' gani / ipi Mkuu? Nina hamu sana nimjue.
 
Malima Ndelema,Michael Katembo wa Mkoa kwa Mko,Sara Dumba na Mshindo Mkeyenge
 
1.Marehemu David wakati RTD
2.Marehemu Julius nyisanga ancle JJ
3.Ahmed kipozi
4.Marin Hassan Marin
5.Charles Hillary
6.Ivona kamuntu
7.Ally salehe alikuwa bbc zaman ila sasa yupo azam



sent from iPhone 7+ using jamii forums mobile app
2.babu wa kimanzichana

mzee alikua yuko vizur sana....utoto wangu adi kukua kwangu nimemsikiliza sana na nilimpenda, Mungu amuweke mahali anapostaili kwakweri.
 
Baruan Muhuza.
Fatuma Nyangasa, ivona kamuntu, Charles Hilary, Salim Kikeke,Sam Kiyama, Adam Simbeye, Juma Nkamia,&Enoch Bwigane.
Kwa vijana;
Millard Ayo
Hashimu Ibwe
JD fetty
Hamis Mbande
 
Scola Kisanga --- Ea Radio

Mary Edward ----- Magic fm

Irene Tillya ---- East Africa Radio

Regina Mwalekwa popote alipo

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
Regina mwalekwa [emoji106]
yupo BBC
 
Upande wa Radio....idhaa ya kiswahili?? simsikii siku hizi sana au kwa kuwa naangalia ya kwenye TV labda

Sent From My iDevice using Jamii Forums Auto-reply Mobile App
yes, idhaa ya kiswahili.
hasa kwenye amka na BBC idhaa ya kiswahili...namsikiaga
 
John Ngayoma wa ITV enzi hizo kabla sijawa muhenga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…