GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Mkuu hizo alama za funga na fungua semi zina haribu maandiko yako sana, maana unaziweka kwenye maneno mengi sana kwenye sentensi moja.
Jaribu kuzipunguza ili maandiko yaonekane vizuri na yenye kuvutia.
Wa ' Kiume ' upoje Mkuu?
Wacha umbea.
Mbona hassan alishasemaga hawezi kingereza??? au hukuwepo sikuhiyo?
kingereza ni Lugha sio lazima kila mtua ajue, mwingine inashindikana kabisa kujua
Kwani Hassan Ngoma ni muingereza?!Nitashukuru sana kama nikijibiwa hayo ' maswali ' yangu ' Kuntu ' kabisa na naamini na nina uhakika wa 100% kuwa ' Watajwa ' au ' Watangazaji ' wote hao wa Kipindi cha 360 wapo humu JF na ni ' Members ' wa ' Kutukuka ' kabisa hivyo watanipa ' ushirikiano ' wao katika kunijibu.
- Je ni kwanini kila mnapomualika ' Mgeni ' anayezungumza lugha ya Kiingereza ni Babie Kabae tu ndiyo anauliza maswali mengi ila mwenzake Hassan Ngoma anauliza machache?
- Je ni kwanini kila Mtangazaji Hassan Ngoma anapouliza ' swali ' la Kiingereza mara nyingi sana huwa anatetemeka?
- Je ni kwanini kila Mtangazaji Babie Kabae anapouliza swali la Kiingereza anakuwa ' comfortable ' kabisa na anauliza maswali ya maana?
- Je ni kwanini kila Mtangazaji Hassan Ngoma anapouliza ' swali ' la Kiingereza huwa ' anatupatupa ' mno mikono na hatulii ' Kitini ' kama ' Swala ' aliyekamatwa na Simba?
- Je ni kwanini kila Mtangazaji Babie Kabae akimwona Mtangazaji mwenzie Hassan Ngoma anauliza ' swali ' la Kiingereza huwa anaonekana ' anacheka ' kichinichini?
- Je ni kwanini kila Mtangazaji Hassan Ngoma anapokuwa ' anatafsiri ' kwa Kiswahili kile ambacho amekisia kwa Kiingereza huwa anachukuwa muda mwingi kukieleza huku akichanganya tena maneno ya Kiingereza tofauti na mwenzake Babie Kabae ambaye ' akitafsiri ' tu kwa Kiswahili huwa yuko ' brief ' na anaeleweka vizuri na kwa haraka?
- Je ni kwanini kila Mtangazaji Hassan Ngoma akimaliza tu kuuliza ' swali ' lake kwa lugha ya ' Kiingereza ' hupumua kwa nguvu na ni kama vile anaona ' ameutua ' mzigo fulani ' mzito ' sana?
Nawasilisha.
Kwaio unataka kusema kuwa bwana Hassan ngoma hajui kuongea kizungu? ??[emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Maswali yote ni yakijinga tu! Na jibu ni jepesi kwamba jamaa hakijui kingereza vizuri ma labda nikuweke sawa kutoka kwenye ulimbukeni wa watanzania wengi kwamba kujua kingereza sio ujanja na kutokukijua sio ujinga pia lugha mama kwetu ni kiswahili sio kosa unaposhindwa kuongea lugha nyingine kwa ufasaha mbona wengine kiswahili kinawasumbua na tunaona sawa tu. Nachukia sana watu wanaotukuza kingereza, ni vizuri kukijua lakini kama nitaweza kuongea na wewe na tukaelewana inatosha ujinga ni pale tu unapoanza kumcheka mtu kwa sababu hiyo
weka picha zao
wa kiume ni wakujifunza kutokana na maendeleo.
Na hao Wanaume wenyewe unaowasema ni wa wapi Je ni Nyie ( Wewe ) wa Dar es Salaam au mnaojulikana kwa ' matatizo ' yenu ya ' Kutukuka ' na ya kutia ' aibu ' au Sisi wa Mikoani na Afrika ya Mashariki? Mkuu kumbe na Wewe pamoja na ' Ujanja ' wote huo ni Mwanaume wa Dar es Salaam?
Kazi ipo hakyanani!
Mkuu Hujasema hajui kingereza ila hilo nijibu nililokupa mimi kwamba jamaa hajui kingereza vizuri na hilo sio kosaMkuu mbona umejibu kwa ' mhemko ' sana? au una Undugu wowote labda na hao Watajwa wa 360 Clouds tv? Halafu umejibu ' Kipumbavu ' sana hivi ni wapi labda katika thread content yangu nimesema kuwa Mtangazaji Hassan Ngoma hajui Kiingereza? Kuna Watu huwa ' mnanilazimisha ' niwadharau!
kwani kiingereza ni bora kuliko lugha yetu ya Kiswahili?,ningefurahi mno vyombo vyetu vya habari vitumie zaidi lugha yetu na kupiga zaidi nyimbo zetu
Hakuna cha nyama wala nini mbona "Fent Fodi" Hukushangaa!😱Kisu kimegusa katika nyama nini Mkuu?