dickchiller
JF-Expert Member
- Apr 30, 2012
- 1,847
- 3,149
ungekuwa straight hassan ngoma hajui english vzr. anatakiwa kurudi kwa ras simba...
babie yuko vizuri mnoo hata cnn akitangaza hutaona tofauti. nilikuwa namchukulia poa hadi siku nilipomuona anamuhoji kigogo mmoja wa world bank
purely talented and charismatic Fella
hahahaha
Hakuna cha nyama wala nini mbona "Fent Fodi" Hukushangaa!😱
Habari ndiyo hiyo Mkuu. Nisalimie Wanaume wenzio wa huko Dar es Salaam Mkuu. Karibu sana huku Kwetu nchini Puerto Rico japo wiki ijayo nitakuwa kwetu Mkoani Gisenyi nchini Rwanda kwa mapumziko.
Mbona kuna Wadau wana PhD ila lugha gongana mi naamini tatizo kubwa kutokujiamini na huwa tunajifunza kingereza kama somo na sio kama la lugha. Mbona hata babie kiswahili hayuko comfotable kuongea? Nishaona lecturers wengi tena wanamasters za nje ila wanafundisha kwa kiswahili somo la kingereza.
Angelia wanaosoma international wanaofanya kingereza lugha sio somo wako competent kwenye lugha
Mtoa Mada kumbe na Wewe bado una Ukoloni kichwani mwako namna hii?! Kwamba Mtu akiongea Kiingereza kwako ndo wa Maana.
Duuh! Hufananii
"Even Heaven Cry"
Puerto Rico my foot.
acha kuishi kwa imagination.
Uskute ww mwenyewe hamna kitu basi tu kwa kuwa uko behind the scene unaropokasio nyama mfupa ndo kimegota
Kuna siku miezi iliopita aliambiwa atafsiri mithali ya kingereza akasema "aaah mimi sijui english"Alisema lini na wapi? Je kwakuwa Wewe umeonyesha ' ushirikiano ' wako wa kuwa na ' Kiherehere ' kumjibia unaweza ukatuwekea hapa Jamvini hiyo Kauli yake ili nasi ambao hatukumsikia tuweze kuisikia na kuamini?