Watangazaji wa 360 Clouds tv kama hamtojali nitaomba mnijibu maswali yangu haya yafuatayo...

Kule Chato hii story yako hua tunaiita wivu wa kike.....ama una bifu na Hassan Ngoma ama unamtaka Babie Kabaye.Sasa hapo ujipime either mcheps wako ulimsifia Hassan Ngoma mbele yako ukaamua kukurupuka na kumchukia ili aondolewe kwa kipindi asionekane km kina Kibonde ama una lako la moyoni.Ila all in all jipange blazaaaaaaaaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli hamnazo,badala ufurahie hassan ngoma kuongea kiswahili we unaona kama anapuyanga?,sijui mijitu mingine ikoje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Swala la kuulizwa na kuyumba ni.kawaida...pia usipagawe na lugha ya malkia hiyo siyo yakwetu
 
naomba nikujibu swali la 7.. kwaniaba ya cloudsmedia

Kwanza unatakiwa kujua maana ya neno KUPUMUA
 
Mkuu nakushauri acha kuangalia Clouds.
total waste of time

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hassan Ngoma ananogesha kipindi,, na pia sio ajabu MNYAKUSA KUJIFUNZA KIHEHE,,hata kama atakuwa anachekesha, ni watu tu wenye kasumba za kikoloni ambao wanadhani mtu akiongea Kiingereza vizuri ndio muelimika

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu nakushauri acha kuangalia Clouds.
total waste of time

Sent using Jamii Forums mobile app

Na siwezi kuacha kuangalia Clouds tv tena hasa Vipindi vyao Viwili ninavyovipenda hiki cha 360 na kile cha kila Jumatatu cha Sports Bar. Naipenda mno IQ ya huyo Dada Babie Kabae kwani namkubali na nimeanza kumjua tokea Kipindi kile alipokuwa East Africa Radio hasa alipokuwa akiendesha Kipindi chake kimoja cha Kujibu maswali ya papo kwa hapo ambapo mengi yalikuwa ni General Knowledge huku mengine yakiwa ni ya Kitaaluma zaidi na ukiyapatia unapewa Zawadi ya Pesa Taslimu Tsh 5,000/ au CD mpya na Mwanamuziki fulani maarufu. Binasfsi nimeshapata Hela mara tatu na kushinda CD zaidi ya mara tano. Washindi maarufu wa Zawadi zake tulikuwa ni Mimi GENTAMYCINE, Jamaa mmoja hivi anaitwa TJ au Tija Juma ( Genius ) mmoja, Rafiki yangu aitwae RogaRoga na huyu Dogo Pedro ambaye ni hivi majuzi tu ameshinda Tuzo ya masuala ya Cardiology huko Egypt.

Huyo Mtangazaji Babie Kabae ana akili sana na kila siku najifunza mengi kupitia Yeye. Hakika Clouds Media Group kuwa nae hapo Mjengoni wamelamba dume.
 
Nyie ndo mnaopumuliwa...toto la kiume unakuwa na tabia za kike kwanini usiliwe kama ndo iviii...unamchunguza mtoto wa kiume kama mmeo bana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiingereza aka kizungu ni Lugha tu kama lugha nyingine,kutokujua kizungu sio kosa na ndio maana hata Obama hajui kiswahili,hii inamaanisha hata huyo ngoma angeishi huko kwa obama angejua kizungu,sio jambo la ajabu ndio maana hata wewe haujui kichina au kijerumani sio kosa ningeshangaa ungeniambia hajui kiswahili.
 
Swali la kwanza na la pili umelijibu bila kujua ' maana umesema kwanini bebie ndiye muuliza maswali mengi na kwa nini guko comfortable ? Jibu ni anauliza yeye maana yuko comfortable. Halafu in psychology of language wanawake wana tendency kubwa ya kuwa vizuri kwenye lugha, fluent n. k.
Ni umbea tu maana hata maswali ya kiswahili huwa ana dominate yeye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…