Kinoamiguu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2018
- 11,936
- 15,196
Unachukia peke yakoAti wanaita estadio de Mkapa, sijui ni mbwembwe au nini?
Kiswahili kina misamiati mingi, kwann isitumike badala ya kuweka maneno ya kireno?
Mzee kajenga uwanja kwa heshima ya nchi na mpira. Japo hakuwa mtu wa mpira.
Kampeni heshima yake hizo mbwembwe za ESTADIO DE MKAPA ZINAKERA WENGI.
Utakuwa Kidimbwi wewe
Kwanini Lupaso?Wamebadili wanapaita Lupaso
Kijiji cha mkapa, ni lupaso sijui nini..nasikia kwenye matangazo yaoKwanini Lupaso?
Maana yake ni Mkapa stadium kama ilivyo estadio Wanda metropolitanoUtakuwa Kidimbwi wewe
Kijijini kwao Mkapa ,masasi mojaaaKwanini Lupaso?