Watangazaji wa kipindi cha ubaoni Efm muwaombe msamaha Chege na Temba

Hii thredi haina tofauti na wale wanaodai cheti kimeibiwa wakati mwenye cheti hajawahi lalamika.
 
Walikuwa wanatoa ushauri tu kufanya biashara.Mpoki ni mchekeshaji na ndo kazi yake pale, Bikira wa kisukuma ni genius sana...ushauri wake ni mzuri mara zote. Hapa nimeweka earphones nasikiliza ubaoni....ni Kwi kwi.[emoji23]
 
Hawajakosea na niliwasikia jana..Chege na Temba hawana jipya kwa sasa,hawawezi tena muziki bali wanabebwabebwa tu na media
 
tena siyo pweza tu na kama vipi waanze kuimba singeri kwa sababu uku kwenye bongo fleva naona saizi yanawabeba tu majina yao ila nyimbo yao mpya ya ovyooo kinoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…