Watangazaji wa michezo East Africa Radio acheni ushamba

Kusikiliza radio za kibongo bongo kulinifanya kujiona kama kila ninapowasikiliza akili zangu zinashuka kidogo maana wanaongea ujinga ujinga tu,nimeacha since 2017.
 
Ibra kasuga ndiyo tatizo pale...wenzake wakiongea yeye anaingilia...hajui hata principles za mazungumzo..
 
tanzania hakuna wachambuzi wa michezo kuna wasimuliaji na watoa taarifa za michezo yaani hao ni kusimulia matukio yaliyotokea ndani ya dakika 90 na sio kuchambua,pale times fm kuna wale kina magoyo hawajui lolote ila wanajifanya wajuaji ukija u fm kuna huyu anajiita kudabash na wenzake yaani ni upuuzi mtupu bora nisikilize ripoti ya leo efm kuliko upumbavu wa hawa wapuuzi
 
Wanapiga kelele utadhani wapo kilabuni wanakunywa mbege..poor east africa radio
 
Wanapiga kelele utadhani wapo kilabuni wanakunywa mbege..poor east africa radio
Mchambuzi anasema man utd walikuwa na ball position 56% wakati Liverpool walikuwa na ball position 44%%kuna nini hapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…