Watangazaji wa mpira AFCON wa TBC Taifa acheni ushamba na kujipendekeza kunakoboa kwa Rais Samia

Tbc 1 wanatangaza vizuri bahkresa hamchukue nazareth upete anajua sana kutangaza balll na story kama zote za interpretation ya mchezaji mmoja mmoja
 
Hakuna timu ya taifa ya Tanzania iitwayo watoto wa mama wa Kizimkazi iliyoko mashindanoni AFCON bali tuna timu ya taifa iitwayo Taifa Stars tu sawa?

Hovyo kabisa.......!!
Kuna mtangazaji anatamka sana neno MALI, MALI. Nikadhani TZ inacheza na Mali.
 
Tbc 1 wanatangaza vizuri bahkresa hamchukue nazareth upete anajua sana kutangaza balll na story kama zote za interpretation ya mchezaji mmoja mmoja
Apunguze umbea maana jamaa kama anasiri zako kwenye kutangaza mpira atazitoa zote ....
Ila style yake ya utangazaji ni nzuri sana na anajua kweli hatanii yule shida huo umbea tu.
 
Hakuna timu ya taifa ya Tanzania iitwayo watoto wa mama wa Kizimkazi iliyoko mashindanoni AFCON bali tuna timu ya taifa iitwayo Taifa Stars tu sawa?

Hovyo kabisa.......!!
Ndiyo maana wakibondwa mimi nafarijika sana
 
Ndo maana hii timu ya taifa inampasuko mkubwa kwa mashabiki wa taifa hili

Siasa zimeigawa hii timu, nadhani ni timu ya taifa pekee duniani amabayo imegawanyika kwa mashabiki wa taifa lake.
 
Huwa naangalia mpira Tbc kwa sababu ya Nazareth Upete sijawahi kumsikia akileta habari za kizimkazi
 
Hakuna timu ya taifa ya Tanzania iitwayo watoto wa mama wa Kizimkazi iliyoko mashindanoni AFCON bali tuna timu ya taifa iitwayo Taifa Stars tu sawa?

Hovyo kabisa.......!!
Hupendi? Mbona kuna daraja la Magufuli hyping? Utakufa kwa roho mbaya yako.
 
Back
Top Bottom