Watangazaji wa Redio Maria mnaharibu Kiswahili

Watangazaji wa Redio Maria mnaharibu Kiswahili

Utitiri wa vyombo vya habari na vyuo vya uandishi a habari visivyokidhi vigezo pamoja na kutokuwepo chombo cha kudhibiti uchafuzi wa lugha ndiyo chanzo cha hayo yote.
 
S
Utitiri wa vyombo vya habari na vyuo vya uandishi a habari visivyokidhi vigezo pamoja na kutokuwepo chombo cha kudhibiti uchafuzi wa lugha ndiyo chanzo cha hayo yote.
Sidhani kama vyuo vya uandishi wa habari vinastahili kupewa lawama hii,me nahisi ni kutokana na uelewa wa mwanafunzi/mtangazaji mwenyewe,maana hayo masuala ya R na L tunafundishwa tangia ngazi za Shule ya msingi kabisa
 
Radio Maria ilikuwepo zamani enzi za watangazaji akina Deo Chippa, Matthew Nkanyemka, Emmanuel Ngalapa, na wengine Fr. Camillius. Ya sasa ni utopolo mtupu[emoji19]
 
Watangazaji wa redio hii wanaharibu matamshi ya lugha ya kiswahili,"aya" wao wanatamka "haya","Redio Maria",wao wanatamka ledio malia,hebu jirekebishe
Tatizo ni muajiri aliyeajiri watu hao maana mtu asiye na R, H, nk hafundishiki. Wahusika wanapaswa kuajiri watu wanaojiweza, nukta
 
Watangazaji wa redio hii wanaharibu matamshi ya lugha ya kiswahili,"aya" wao wanatamka "haya","Redio Maria",wao wanatamka ledio malia,hebu jirekebishe
Kinacho nikasirisha kusema Kila siku bikra la mariamu mpaka mtoto wangu Ana niuliza bikra ni nini. Nimejibu ni ccm
 
Back
Top Bottom