Watangazaji wa Star Tv

ranjan

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2013
Posts
338
Reaction score
288
Toka mwaka 2014 uanze watangazaji wa Star Tv wamebadilika sana kwa upande wa mavazi, hakika wanapendeza, tofauti na kipindi cha nyuma walikua wanavaa suti ovasaizi.

Bigup kwenu.
 
Mbona tangu enzi wanajitahidi kuvaa, sema tu kwa sasa inawalazimu zaidi kwa sababu kwenye taarifa ya habari wanaonekana full.

Na hizo ishu za oversize mbona ni za zamani enzi za Baruhani Muhuza, na alikuwa anavaa kwa mapenzi yake mwenyewe.
 
Kumbe star tv sasa hv wanaoneshwa full kwenye habari, nina siku nyingi cjaangalia habari chaneli hiyo.nitajitahidi leo niangalie.
 
Fyatu, huwezi ukalinganisha enzi hizo na sasa hv. tazama habari hata za mchana hawaonekani full lkn wanajitahidi.tukubali tu wameimpruvu.
 
Ndiyo lis, sasa hivi wanaoneshwa full.
 
Fyatu, huwezi ukalinganisha enzi hizo na sasa hv. tazama habari hata za mchana hawaonekani full lkn wanajitahidi.tukubali tu wameimpruvu.

Hapana bana, kina Benard, Ivona, Yahaya Mhd ( alipokuwa star tv) wamekuwa wanajitahidi tu tangu siku nyingi, sema ishu ilikuwa kwa Baruhani...nadhani hata uongozi walikuwa hawajui yale makoti alikuwa anayatoa wapi.
 
Mkuu: naona mmemkomalia kwelikweli huyo moja wa mabalozi wetu pale BBC Swahili-Nairobi.Mwacheni ale zake bata vizuri, asijepaliwa bure!
 
Hapana bana, kina Benard, Ivona, Yahaya Mhd ( alipokuwa star tv) wamekuwa wanajitahidi tu tangu siku nyingi, sema ishu ilikuwa kwa Baruhani...nadhani hata uongozi walikuwa hawajui yale makoti alikuwa anayatoa wapi.

teh!teh! .nafikiri mr muhuza aliwahi kufanya u-mc
 
Msije mkanielewa ndivyo sivyo, namuongelea Baruhani upande wa uvaaji tu, kwa upande wa kazi anabaki kuwa nafasi ya juu kwenye orodha yangu ya watangazaji kumi bora wanaonivutia kuwasikiliza, wenye uwezo na upeo hapa bongo.

Kuwataja wachache (randomly)......Yahaya Mohd, Baruhani Muhuza, Deo Rweyunga, Rainfred Masako, Samadu Hasan, Gabriel Zakaria.........
 
wameimprove ila kuna dada mmoja nilimuona kwenye taarifa ya habari ya usiku

then kesho yake asubuhi nikamuona na zile zile nguo au huwa wanarekodi na kurudia asubuhi
 
Hapana bana, kina Benard, Ivona, Yahaya Mhd ( alipokuwa star tv) wamekuwa wanajitahidi tu tangu siku nyingi, sema ishu ilikuwa kwa Baruhani...nadhani hata uongozi walikuwa hawajui yale makoti alikuwa anayatoa wapi.

Ha ha ha ha ha hakika wewe ni FYATU
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…