KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Hili neno kwa sasa lipo viral sana kwa watangazaji wa Tanzania, sijajua ni ulimbukeni au ni katika kujionyesha wamesoma na sio makanjanja.
Out of context utasikia hilo neno limechomekwa, huwa nakereka sana.
Limeanzia Clouds fm huko kwenye kipindi cha XXL and Amplyfier, naona sasa hata kwenye hivi Redio ndogo ili uonekane ni mtangazaji inakupaswa utamke hilo neno.
Jamani tafuteni neno jingine, majirani zetu Wakenya wanatuona malimbukeni.