KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Basi sema wapi wanakosea au mazingira gani linatumika sio blames tu mkuu..Hili neno kwa sasa lipo viral sana kwa watangazaji wa Tanzania, sijajua ni ulimbukeni au ni katika kujionyesha wamesoma na sio makanjanja.
Out of contest utasikia hilo neno limechomekwa, huwa nakereka sana.
Limeanzia clouds fm huko kwenye kipindi cha XXL and Amplyfier, naona sasa hata kwenye hivi viredio vya kata ili uonekane ni mtangazaji inakupaswa utamke hilo neno.
Jamani tafuteni neno jingine, majirani zetu wakenya wanatuona malimbukeni.
Hoja sio kuchomeka kiingereza, hoja ni watumie maneno mengine, ambayo hata mimi nimeonyesha hapo.Wewe hayo maneno ya kiingereza uliyochomeka hujaona maneno ya kiswahili?
Nyani haoni kundule.
Ivi unaona ni sawa ndani ya kipindi cha dk 30, mtu kutumia hilo neno kwa zaidi ya mara 15! ?Basi sema wapi wanakosea au mazingira gani linatumika sio blames tu mkuu..
So huu ni uwanja mzuri wakuelimishana
Speaking of this comment, unadhani linatakiwa liwe linatumika kwenye nini?Kuna lingine hili....."speaking of...." yaani mpaka waliseme. Hata kama sio sehemu yake😂😂
Yaani linatakiwa litumike kama kuna kitu kilizungumziwa kabla, then kuna ishu ingine inayokihusu hicho kitu then unataka kukiongezea. Sijui kama umenipata.Speaking of this comment, unadhani linatakiwa liwe linatumika kwenye nini?
Nimekupata,Yaani linatakiwa litumike kama kuna kitu kilizungumziwa kabla, then kuna ishu ingine inayokihusu hicho kitu then unataka kukiongezea. Sijui kama umenipata.