Watangazaji wa tv, Redio na wasanii na watu wengine maarufu je hawana mapenzi ya kweli?

Watangazaji wa tv, Redio na wasanii na watu wengine maarufu je hawana mapenzi ya kweli?

Alagwa

Member
Joined
May 30, 2012
Posts
96
Reaction score
88
Ukweli sijaujua kwa hili ivi kama utu ukiwa maarufu kwanini kila msichana au mvulana anataka kuwa na mahusiano na wewe? Hatakama ukiweka wazi kuwa una mke au mme bado tuu unasumbuliwa hivi hii ni kwawatu wote au ni kwa watu maarufu tuu.
 
sana ni kwa watu maarufu. wanafikiri ukiwa na mahusiano na mtu maarufu utapata sifa kubwa kwenye jamii na pia wanahisi watu maarufu wana pesa.
 
Back
Top Bottom