Alagwa Member Joined May 30, 2012 Posts 96 Reaction score 88 Jun 24, 2012 #1 Ukweli sijaujua kwa hili ivi kama utu ukiwa maarufu kwanini kila msichana au mvulana anataka kuwa na mahusiano na wewe? Hatakama ukiweka wazi kuwa una mke au mme bado tuu unasumbuliwa hivi hii ni kwawatu wote au ni kwa watu maarufu tuu.
Ukweli sijaujua kwa hili ivi kama utu ukiwa maarufu kwanini kila msichana au mvulana anataka kuwa na mahusiano na wewe? Hatakama ukiweka wazi kuwa una mke au mme bado tuu unasumbuliwa hivi hii ni kwawatu wote au ni kwa watu maarufu tuu.
Purple JF-Expert Member Joined Feb 9, 2012 Posts 2,027 Reaction score 935 Jun 24, 2012 #2 Wewe ni maarufu??
mhalisi JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 1,181 Reaction score 322 Jun 24, 2012 #3 sana ni kwa watu maarufu. wanafikiri ukiwa na mahusiano na mtu maarufu utapata sifa kubwa kwenye jamii na pia wanahisi watu maarufu wana pesa.
sana ni kwa watu maarufu. wanafikiri ukiwa na mahusiano na mtu maarufu utapata sifa kubwa kwenye jamii na pia wanahisi watu maarufu wana pesa.