hiyo ndo inaitwa "balance of nature" wote wakiwa wanakaa mda mrefu nan ataheshmika? compitition itatoka wap? inatakiwa wawepo wasiopata haki ili wapate hasira mziki unoge.
Kuhusu Jay moe hata sisi wasikilizaji tunaonaga mda hautoshi. ..kwa bongo hamna msanii anayevutia kwa interview kama Jay moe then profesa j, Mr 2 sugu na afande sele