Hivi qualifications zao ni tofauti na hawa watangazaji wengine wa redio za bongo?mana ni kama wanaongea kwa ufasaha zaidi
hiyo radio jumamosi kuna mtangazaji huwa anatangaza maswali na majibu jina limenitoka kidogo nikumbushe.
Nadhani ni Shakoor Abdul Shakur wa VOA-Marekani ndo wanafanya hivyo kila jioni saa 7.30
Habari zenu wakuu, Nashukuru kwa fursa hii huenda kukawa kuna makosa katika uandishi wa majina ya hawa ndugu zangu ambao nawakubali huenda kwa uwezo wao binafsi katika nyanja ya utangazaji na uwakilishi katika baadhi ya idhaa za kiswahili,nashukuru kwa kupewa nafasi, 1. Oumylakher Amidou-DW 2. Vicent Mokori-VOA 3. Othuman Miraji-DW 4. Lubunga Biyaombe-BBC 5. Othuman Dodo Abdallah-RFI 6. Kazungu Rose-BBC 7. Dina Shahari-BBC 8. 9. niambie na wengine ambao huenda unawakubali lakina hakikisha wawe ni wale wa idhaa tu ,haya tuendeleze mtiririko huu
Anaitwa Soloma Kassim
Huyo mwenye sauti ya kukwaruza nahisi ni Ummul kheir,nampenda huyo mama.Namkubali sana ibunga muyaombe,vicent makori(miwani) na kuna bibi flan sauti yake inkwaluza balaaa(wa DW)
Shakur Aboud anatangaza vizuri hadi raha aisee!!ndio,mkuu nimemsikiliza majuzi huyo anaitwa abdul shakur abood...kwel anatangaza kiswahili hasa,kama marehemu john ngahyoma naye kwel nilipenda staili yake ya utangazaji.
Kumbe wengi ni Wakenya enh? Sikuwahi kujiuliza wanatoka wapi! Na kama ni Wakenya basi wengi wao watakuwa kutoka Mombasa manake Wakenya wa Bara, mnh...wanakibamiza sana kiswahili ukutani.nahisi wabongo tatizo ni lugha ya pili . wakenya wazuri kiingereza na watu kama wanyarwanda wazuri kifaransa
Mkamiti kibayasi-VOA
huyo abdul shakur ana undugu wowote na hayati 2pac shakur?ndio,mkuu nimemsikiliza majuzi huyo anaitwa abdul shakur abood...kwel anatangaza kiswahili hasa,kama marehemu john ngahyoma naye kwel nilipenda staili yake ya utangazaji.
nadhani alitaka tutaje watangazaji wa kawaida,Kikeke ni news anchor bbc swahili tv.Update:
Salim Kikeke