nadhani alitaka tutaje watangazaji wa kawaida,Kikeke ni news anchor bbc swahili tv.
huyo abdul shakur ana undugu wowote na hayati 2pac shakur?
Wanatoka katika nchi gani za africa.....majina mengine sio ya kitanzania...
ni mwanamke
Dah....safi sanaOumilkheir Hamidou, Mohamed Abdulrahmani, Sekione Kitojo, Kazungu Lozi hawa ni DW. Bashkedash Yushkodai, Lubunga Bya'ombe, Patrice Chiterra BBC Wengine ni Francis Chandiona, Petty Kaunda, Kaleja Kaunda na Willium Njolanje kutoka RSA na mwisho kwenye list yangu ni Taderera na Bernard Otieno kutoka Channel France Internationale (eng). Dah! Zamani kweli!
Ummy Heri kama sijakosea spellingNamkubali sana ibunga muyaombe,vicent makori(miwani) na kuna bibi flan sauti yake inkwaluza balaaa(wa DW)
Namkubali sana ibunga muyaombe,vicent makori(miwani) na kuna bibi flan sauti yake inkwaluza balaaa(wa DW)