Watangazaji wanaokubalika katika Idhaa za Kiswahili

Mi hupenda tu kumtizama ZUHRA YUNUS wa BBC Swahili.... Huwa naburudika
 
Funga kazi ni ile timu ya miaka ya tisini au kabla kidogo ya DW-Swahili bana! Enzi hizo wanatangaza kutoka Cologne. Ametajwa mmoja huko juu Othman Miraji, kulikuwa na somebody Ramadhani na wengine kibao... Yes mwingine Jacob Tesha, kwa huyu, Masako na mbwembwe zake zote anasubiri! Yaani ukikosea u-tune sauti ya Ujerumani, hutoki hadi wamalize! Habari, uchambuzi wa habari, mahojiano, uchambuzi wa habari za michezo... Hao watu walikuwa hatari kabisa.
 
Maxmillian Bushoke, Anderson Karlu, Mike Ararenge, Nzavoniva Abdallah wote CHANNEL AFRICA- SOUTH AFRICA. Aisha Yahya, Valery Msoka, Ally Mutasa, Ally Yusufu Mugenzi, Dauda Awesi etc Wote BBC
Mike Arareng dah jamaa yupo vizuri sana, anakuambia kaa nami nami nikae nawe hadi mwisho wa kipindi.
 
Kuna yule anasauti kama. Mwaume sijui wa kike ansitwa humru heri sijui wa dw
 
msisahau Geoooooooorge Maraaaaaaatooooooo wa ITV maraaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…