Jamani watangazaji wetu kuna tofauti ya kimatamshi kati ya vifupi vya maneno vilivyoandikwa kwa kutenganishwa na nukta na vile visivyotenganishwa na nukta. Mbona mnasoma bila kujali kama kuna tofauti.<br />
<br />
kwa mfano; UNO na U.N.O au B.A.E na BAE<br />
Jifunzi vitu vya msingi katika taaruma yenu