Watani mnajisikiaje ombaomba kukupita alama 5?

Ni mind games .It is used in plural.Kiingereza lugha ngumu huwezi kujifunza kwenye kamusi peke yake. Kuhusu uzuzu wewe ndio zuzu sio wazazi wako.
 
Ni mind games .It is used in plural.Kiingereza lugha ngumu huwezi kujifunza kwenye kamusi peke yake. Kuhusu uzuzu wewe ndio zuzu sio wazazi wako.
Kwa hiyo kamusi imekosewa wewe uko sahihi!? Haya ndugu
 
Umeelewa nilichoandika.?Unapotumia kwenye kuandika au kusema unaitumia kwa wingi. Mind games.
Jifunze pia matumizi sahihi ya kamusi.
 
Mkuu, kwanza hiyo kampuni bado ni hewa. Imeanza kuingiza kiasi gani?
Bado Mo anatoa pesa zake mfukoni. Nimewapa mwaka kuona kama Mo atakuwepo.
Yanga sio omba omba. Inaomba kwa nani? Inaendeshwa na wanachama wenyewe kila mtu kwa nafasi yake.
 
Huyo Chama kule Zambia wa kawaida sana. Sema tu level yetu ya mpira ipo chini ya Zambia. Aache kwenda Sauzi aje Bongo?
 
Nyie mashabiki makalio mnashida sana hao vyura wamecheza mechi nyingi kuliko mume wenu mnyama ndo unalinganisha. Tulieni mume wenu kaenda kazini kuwatafutia pesa mnunue madela mpendeze.
 
Reactions: Tui
Ulinganishaji wa kipumbavu haswa.
Chama ni vice captain wa chipolopolo. Mchezaji wa kikawaida?Hassan Kessy amepata namba Nkana nae ni ajabu na huku Zambia ipo juu yetu?
Mbona hushangai Okwi,Juuko,Wadada wapo hapa na Uganda yupo juu yetu?.Makambo yupo hapa na sio South Africa wakati Congo DRC wapo juu yetu na pia wapo juu ya South Africa.
Hivi wewe unajifanya mchumi kuliko mwenye kampuni zaidi ya 100 na kupewa tuzo mbali mbali za uendeshaji wa kampuni. Wacha kupiga ramli. Eti naipa hiyo kampuni mwaka mmoja!!!
Aliyesema omba omba ni mpenzi mwenzako.
 
Huyo Chama kule Zambia wa kawaida sana. Sema tu level yetu ya mpira ipo chini ya Zambia. Aache kwenda Sauzi aje Bongo?
Sio tu aache kwenda Zambia...Yaanu akosekane kweny timu Kama Zesco au Zanaco kunaonyesha jamaa ni embe dodo. [emoji23]
 
Mkuu, kwanza hiyo kampuni bado ni hewa. Imeanza kuingiza kiasi gani?
Bado Mo anatoa pesa zake mfukoni. Nimewapa mwaka kuona kama Mo atakuwepo.
Yanga sio omba omba. Inaomba kwa nani? Inaendeshwa na wanachama wenyewe kila mtu kwa nafasi yake.
[emoji23][emoji23][emoji23]

Simba ni kama mtoto anaye lelewa na kuhudumiwa na baba wa Kambo.
 
Nyie mashabiki makalio mnashida sana hao vyura wamecheza mechi nyingi kuliko mume wenu mnyama ndo unalinganisha. Tulieni mume wenu kaenda kazini kuwatafutia pesa mnunue madela mpendeze.
Soma bandiko vizuri usikurupuke kama umejikojolea ndotoni.

Nimesema ukiondoa mechi za mkononi..

Shule ulienda kusomea ujinga?
 
Umeelewa nilichoandika.?Unapotumia kwenye kuandika au kusema unaitumia kwa wingi. Mind games.
Jifunze pia matumizi sahihi ya kamusi.
Jambo la msingi ni uwezo wa kung'amua maana ya jumla....

Hatuko humu kufundishana msingi wa lugha...
 
Umeelewa nilichoandika.?Unapotumia kwenye kuandika au kusema unaitumia kwa wingi. Mind games.
Jifunze pia matumizi sahihi ya kamusi.
nyinyi ndio tumewapa majukumu ya kifundisha watoto wetu kumbe mnawalisha MatangaPori ehh.
 
Historia ya kutema timu hajaanza leo. It won't be different this time around.
Kikubwa exit plan anayo tofauti na huko alikotokea. Ataiuza timu kwa yeyote mwenye hela.

Huyo Chama ilikuwa safari ya Misri ilibuma. Average player.
 
Nyie mashabiki makalio mnashida sana hao vyura wamecheza mechi nyingi kuliko mume wenu mnyama ndo unalinganisha. Tulieni mume wenu kaenda kazini kuwatafutia pesa mnunue madela mpendeze.
Nani kakupa guarantee ya kushinda viporo vyote?
Angalia lugha zako za kutumia Masaburi.
 
Nani kakupa guarantee ya kushinda viporo vyote?
Angalia lugha zako za kutumia Masaburi.
Hahaha mechi za kiporo anadhani atashinda kwa urahisi kama anacheza na Mbabane Swallow!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…