WATANI SIMBA SC HONGERENI

WATANI SIMBA SC HONGERENI

msolopaganzi1954

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2018
Posts
763
Reaction score
379
....Napenda kuandika juu ya watani zangu Simba SC na Kuwapa Hongera juu ya Ubora na Uwezo mkubwa Walionao na Kufanikiwa kuwapa Mzigo wa Kutosha Mbambane wa Eswitini.......Ukweli usiopingika Simba Wana muunganiko Mzuri Sana (Chemistry)
.....Nawapa Hongera Sana juu Scouting yao ya Wachezaji,
Hapa Yanga Tumezidiwa Sana, Najuha Hapa Ndo yale mambo ya 10% Yanapochukua Nafasi.
 
mkuu naona kweli unaitamani Simba ,umejaza post kibao za Mtani Hongera ....Hongera na wewe kushukuru Mkuu!
 
Back
Top Bottom