Watani wametuheshimisha Tanzania

Watani wametuheshimisha Tanzania

Richard3

New Member
Joined
May 11, 2024
Posts
4
Reaction score
1
Kiuhalisia kwa game (mechi) ya jana ilikuwa ngumu pande zote. Nguvu ya ushindani na kasi ya mikimbio ilikuwa sawa kwa kiasi kikubwa wachezaji wote walicheza katika viwango.

Hii inanipa picha ngumu na yenye njonjo kwenye mashindano yajayo dhidi ya maasimu hawa wawili ambao makazi yao na historia zinakalibia kuwa sawa yaani wenye kutoka katika asaili moja.

Kiukweli simba amekuwa bola kwa msimu huu ,yanga kadharika hii inamanisha mema na matamu katika kutizama mashindano ya mechi nyingi za ligi mbalimbali nchini Tanzania.

NBC msimu huu itakuwa yenye upekee na hii itaweza kuonyesha ukubwa na makuzi halisi ya ligi Tanzania.

IMG-20240809-WA0058.jpg
 
Back
Top Bottom