Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Ndugu zangu wa kigoma ni watani zetu sisi kanda ya ziwa hususani Mkoa wa Mara.
Hivyo nahoji na kushauri watani zangu huku nikijiuliza kwa tabia zao watamudu masharti ya matumizi ya treni ya kisasa?
Wamezoea kusafi na treni ya kizamani huku wakibeba vyakula mbalimbali kama viazi vya kuchemsha, samaki migebuka, mahindi ya kuchemka, magimbi, mihogo ya kuchemsha na ugali wanaofunga kwenye migomba ya ndizi.
Je, watamudu kusafiri na treni ya kisasa ya SGR kwa kuzingatia masharti yaliyowekwa na TRC yanayopiga marufuku kusafiri au kuingia na Chakula ndani ya mabehewa?
Watamudu kweli masharti na kuacha tabia za kubeba mizigo mingi na mizito wakiwa safarini?
Nashauri Serikali iwape elimu ya kutosha watani zangu hao wa kigoma kabla ya kuwaruhusu kutumia huduma za SGR.
Niwatakie mchana mwema.
Pia soma