Nanoli
JF-Expert Member
- Oct 15, 2015
- 3,735
- 5,974
Ndg zangu, watani zangu wale wazee wa Msimbazi a.k.a Mikia,.. Nilizoea kuziona na kuzisoma post zenu kila niamkapo nakutana na post kibaaaao.. Mara TANAPA wametangaza mnyama mkali Simba ametoroka kwenye hifadhi... Ooh mara Hakuna wa kuifunga Simba, mara ooh Simba aipitia Stand... Kwangu binafsi niliwazoea sana. Sasa nashangaa wiki hii kwa kweli napata maswali mengi mengi sana sana Sanaa, ila majibu siyapati... Mko wapi watani zangu, mpo Hai, au mods wame Ban, au mko kwenye network korofi? Nawamisi saaana...