Watani zangu mko wapi?...

Nanoli

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2015
Posts
3,735
Reaction score
5,974
Ndg zangu, watani zangu wale wazee wa Msimbazi a.k.a Mikia,.. Nilizoea kuziona na kuzisoma post zenu kila niamkapo nakutana na post kibaaaao.. Mara TANAPA wametangaza mnyama mkali Simba ametoroka kwenye hifadhi... Ooh mara Hakuna wa kuifunga Simba, mara ooh Simba aipitia Stand... Kwangu binafsi niliwazoea sana. Sasa nashangaa wiki hii kwa kweli napata maswali mengi mengi sana sana Sanaa, ila majibu siyapati... Mko wapi watani zangu, mpo Hai, au mods wame Ban, au mko kwenye network korofi? Nawamisi saaana...
 
Wame trampiwa
 
Nipo na sembo hapa eneo korofi
Msalimie Sembo mtani wangu, mwambie asiogope, atajificha kwenye maeneo korofi yenye network korofi mpaka lini? Yanga ndo ishaamua hivyo, hamna jinsi,. Hii hainaga ushemeji TUNAPUMULIA KISOGONI TU..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…