squirtinator
JF-Expert Member
- Sep 20, 2015
- 2,765
- 4,182
Ha ha ha ha,bila shaka!Kwanza tunamshukuru Mungu kwa neema zake ktk kukubali sala na dua zetu.
Wenzangu wale watani naona leo mtakuwa mmeamka na hasira sana kwa hizi 'habari mbaya'.
Narudia, watani zangu wa jadi.
Umekurupuka,hujaelewa alichomanisha rudia kusoma,pia usiwe mgonjwa wa siasaMkuu,umeandika matakataka gani haya?
Kwani leo hujaenda Lumumba kuchukua buku saba yako?
Wahi haraka polepole anataka kutoka tena kimbia sana!
Hivi hii ya posho ya buku 7 ni kweli?Mkuu,umeandika matakataka gani haya?
Kwani leo hujaenda Lumumba kuchukua buku saba yako?
Wahi haraka polepole anataka kutoka tena kimbia sana!
Hivi hii ya posho ya buku 7 ni kweli?
Rudi kajifunze kuombea, naona mambo yamekwendea visivyoWatani walikuwa pamoja nasi kwenye huu mkasa.
Nawapongeza sana watani, kuanzia leo nitawaheshimu sana nje ya uwanja.
Leo nimefunga naombea wafungwe na Alliance FC.
[emoji4] [emoji123]
Kuomba sio kupewaRudi kajifunze kuombea, naona mambo yamekwendea visivyo
Watani walikuwa pamoja nasi kwenye huu mkasa.
Nawapongeza sana watani, kuanzia leo nitawaheshimu sana nje ya uwanja.
Leo nimefunga naombea wafungwe na Alliance FC.
[emoji4] [emoji123]