Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Wadau hamjamboni nyote?
Watani mnahusika
Lete utani wenye kuudhi na kukera nami nitakujibu
Naanza mimi ninyi Waha kwenye treni ya sgr haiwafai endeleeni kutumia ya mkoloni