beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Maafisa wa polisi nchini Kenya, wamewakamata watu watano waliokuwa wanashukiwa kutekeleza shambulizi la kigaidi jijini Nairobi, baada ya kupata taarifa muhimu za kijasusi.
Ripoti za polisi zinasema kuwa, washukiwa hao ni wanaume watatu, na wanawake wawili raia wa Marekani, Somalia na Kenya.
Polisi wanaamini kuwa washukiwa hao walikuwa wanapanga kwenda kutekeleza shambulizi hilo Kaskazini mwa jiji la Nairobi wakilenga kilabu moja ya pombe katika barabara ya Kiambu.
Maafisa wa usalama wameimarisha usalama katika jiji hilo kuu, baada ya washukiwa wa Al Shabab kutoka Somalia hivi karibuni kutekekeleza mashambulizi katika kaunti ya Lamu pwani ya nchi hiyo na Garissa Kaskazini Mashariki karibu na nchi ya Somalia.
Al Shabab imetishia kulenga Kenya na Marekani, kutokana na mataifa hayo mawili kuendelea kuwa na wanajeshi wake nchini Somalia kupambana na wapiganaji wake.
======
Kenya arrests five for suspected terrorism
The group comprises three men - a US citizen, a Somali and their Kenyan driver - and two Somali women, who were believed to be on a reconnaissance mission for an attack in the north of the capital, the report dated Saturday said.
Kenyan authorities have arrested five people suspected of preparing a terror attack in Nairobi, according to a police report seen by AFP on Sunday.

Police received information on Friday saying that "suspected terrorists" were carrying out a surveillance operation at a pub on Kiambu Road, a spot popular for its many bars and nightclubs.
Kenyan security forces have been on high alert since the Somali Al-Shabaab group, close to Al-Qaeda, stepped up attacks in the east of the country this month, threatening to target more Kenyan and US interests.
On January 5, the Somali Al-Shabaab group attacked Camp Simba, killing three Americans and destroying several aircraft and warning Kenya to withdraw its forces from Somalia while they still "have the chance".
Kenya sent troops into Somalia in 2011 as part of an African Union peacekeeping mission fighting against Al-Shabaab and has seen several brutal retaliation attacks both on its troops in Somalia and civilians in Kenya.
Source: New Vision