Watanzani wengi hawajui siri hii ya biashara!

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,160
Reaction score
693
Habari wanabodi!


Nimekuwa nikifanya tafiti nyingi kwa nini Tanzania hatuna wafanya biashara ma Millionaire wengi?,kwa nini biashara nyingi Tanzania zinakufa kila Mwaka?,kuna baadhi ya watu wanailalamikia serikali kuwa haina sera nzuri ya kibiashara na mazingira rafiki na wafanyabiashara


Hilo sitaki kulizungumzia leo lina mjadala mrefu,kuna neno la Mungu
Linasema"ya kaisari mpe kaisari na
Ya Mungu mpe Mungu"hayo ya sera
Za serikali tuachie Serikali na tuangalie changamoto binafsi za
Wajasiriamali wengi wa kitanzania


Hapo miaka ya nyuma kidogo watanzania wengi walikuwa na
Changamoto ya "packaging"
Yani walikuwa hawana Elimu
Ya Kupandisha thamani bidhaa
Zao,lakini angalau kidogo siku
Siku hizi wanajitahidi,sasa limebaki
Hili Moja.


"Matangazo",kuna msemo maarufu wa biashara unasema "biashara ni Matangazo",kusema ukweli watanzania wengi kwenye hili ndilo
Linalo fanya biashara nyingi zinakufa,wajasiria mali wakitanzania
Hawajaelimisha kuhusu umuhimu wa matangazo katika biashara.

Unakuta mjasiria mali ameanzisha biashara yake,kila anapopanga budget yake ya kukuza biashara unakuta haweki kabisa fungu la
Matangazo ya biashara yake au
Kama akiweka ni kidogo sana,
Ukimuuliza kwa nini hujaweka
Fungu la matangazo utasikia
Mwengine akisema"biashara yangu
Aihitaji matangazo",ndugu yangu
Nikwambie tu ukweli hakuna biashara halali inayoweza kukua bila Matangazo hata biashara haramu zina mfumo wake wa matangazo,


Kampuni kubwa ya Coca-Cola inawekeza nusu nzima ya faida
Yake kwenye Matanganzo,ndio
Maana inakua kila siku,sasa wewe
Kila ukipata faida ya biashara yako
Wwe kula tu halafu uone kama hiyo
Biashara yako itakuwa,Mwisho namalizia kwa mtu yoyote anaehitaji ushauri au kusaidiwa namna ya kutangaza biashara ya ili iweze kumpatia faida anaweza akanicheki
Pm.
 
 
we jamaa unaakili sana
ila iyo issueme naijua kitambo
ukitaka ku move shusha bei kidogo then tangaza uone kama hujakimbia wateja !!!
 
Asante kwa kunifundisha jinsi ya kuandika tangazo,

nimependa ulivyoandika hiyo 'call to action' ambayo ni 'anaweza akanicheki pm'
 
Asante kwa kunifundisha jinsi ya kuandika tangazo,

nimependa ulivyoandika hiyo 'call to action' ambayo ni 'anaweza akanicheki pm'
 
we jamaa unaakili sana
ila iyo issueme naijua kitambo
ukitaka ku move shusha bei kidogo then tangaza uone kama hujakimbia wateja !!!
ni kweli mkuu na hiyo ndio siri ya mafanikio
 
karibuni wadau muweze kupata ushauri mzuri wa kukuza biashara zenu kwa njia ya matangazo.
 
nilipata tabu kumshawishi partner wangu ambaye ni shemeji yenu tutoe kiasi cha fedha tutengeneze documentary ikabidi niifanye kibabe lakni mpaka sasa hajawahi kuuliza ilifikia wapi kwa kuwa bado anahasira ya kuona tumepoteza fedha.
 
nilipata tabu kumshawishi partner wangu ambaye ni shemeji yenu tutoe kiasi cha fedha tutengeneze documentary ikabidi niifanye kibabe lakni mpaka sasa hajawahi kuuliza ilifikia wapi kwa kuwa bado anahasira ya kuona tumepoteza fedha.
ni changamoto sana mkuu,watanzania wengi wanafikiri kutenga pesa ya matangazo ni kama kupoteza pesa vile inahitajika wajasiriamali kuelimishwa sana kwenye hili.
 
Mkuu kwa duka la kawaida (retail shop) naweza kuweka vipi matangazo.
 
Mkuu kwa duka la kawaida (retail shop) naweza kuweka vipi matangazo.
mkuu usiwe na uwe hofu, nitakusaidia nitumie namba yako pm nitakutafuta kwa mazungumzo zaidi.
 
biashara ni matangao,niko hapa kukusaidia ili uweze kuvuka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kibiashara kwa kupitia matangazo,kama uko interested unaweza ukanicheki pm.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…