Watanzania 10 wametajwa kuwania Tuzo za AFRIMA 2017

real G

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2013
Posts
5,227
Reaction score
5,299
Good News nyingine kwenye muziki wa Tanzania baada ya Waandaaji wa All African Music Awards ‘AFRIMA’ wametangaza list ya wasanii wanaowania tuzo katika vipengele mbalimbali kwa mwaka 2017 ambazo hujumuisha Mastaa kibao katika tasnia ya muziki wa Afrika November 10-12, 2017.

Kuna jumla ya wanamuziki 33 waliotajwa kuwania tuzo mbalimbali lakini wamegawanywa katika Kanda Tano ambazo ni Afrika ya Kati, Afrika Mashariki, Afrika Kusini, Afrika Kaskazini na Afrika Magharibi huku pia kukiwa na tuzo zinazojumuisha Afrika nzima.

Muziki wa Bongofleva haujaachwa kwenye list hiyo ambapo mastaa kutoka Tanzania Diamond Platnumz, Alikiba, Darassa, Lady Jay Dee, Vanessa Mdee, Nandy, Feza, Msafiri Zawose na Topher Jaxx.

Best Female Artiste Eastern Africa
Artiste Track Country
Chess Nthussi Give it to you Kenya
Feza Walete Tanzania
Juliana Kanyomozi I am Still Here Uganda
Lady Jaydee Sawa Na Wao Tanzania
Nandy One Day Tanzania
Vanessa Mdee Cash Madame Tanzania
Victoria Kimani Giving You ft Sarkodie Kenya
Wayna Wondwossen You are not alone Ethiopia


Best Male Artist, Eastern Africa
Artiste Track Country
Alikiba Aje ft M.I Tanzania
Diamond Platinumz Eneka Tanzania
Eddy Kenzo Shauri Yako Uganda
Henok & Mehari Brothers Fikir Yishala Ethopia
Kibrom Birhane Eskista ft Nassmbu Barasa Ethiopia
Mura K.E Excuse my Language Kenya
Octopizzo TBT Kenya
Sinishaw Legesse Selam Ethopia Ethiopia
Qritiqual Malika Kenya


Best Artist or Group in African Contemporary.
Artiste Track Country
Adekunle Gold My Life Nigeria
Alikiba Aje (Ft M.I.) Tanzania
Anselmo Ralph Por Favor DJ Angola
Busiswa Ingqondo South Africa
Ferre Gola Kipelekiese DRC
Oumou Sangare Yere Faga ft Tony Allen Mali
P-Square Bank Alert Nigeria
Soul Bangs Fare Bombo Mbai Guinea
Wande Coal Iskaba ft Dj Tunez Nigeria
Werrason Diemba DRC


Best African Collaboration.
Artiste Track Country
Alikiba Aje (Ft M.I.) Tanzania (Nigeria)
Becca Na Wash (ft Patoranking) Ghana (Nigeria)
C4 Pedro Love Again (Ft Sauti Sol) Angola (Kenya)
Davido Coolest Kid in Africa (ft Nasty C) Nigeria (South Africa)
Fuse ODG Diary (Ft Tiwa Savage) Ghana (Nigeria)
Jah Prayzah Watora Mari (ft Diamond Platnumz) Zimbabwe (Tanzania)
Locko Supporter (ft Mr Leo) Cameroon (Cameroon)
Oumou Sangare Yere Faga (Ft Tony Allen) Mali (Nigeria)
R2Bees Tonight (ft Wizkid) Ghana (Nigeria)
Zeynab Noctambule (ft Shado Chris) Benin (Cote d’Ivoire)


Best Artist or Group in African RnB & Soul.
Artiste Track Country
Ali Kiba Aje (Ft M.I.) Tanzania
Anselmo Ralph Ensina-me a Amar Angola
C4 Pedro Love Again (Ft Sauti Sol) Angola
Degg J Force 3 Akolon Guinea
Diamond Platnumz Marry You (Ft Neyo) Tanzania
Mimie Dance Fi You Cameroon
Nozipho Ang’kakaze Ngizizwe Nje South Africa
Topher Jaxx I Want You Tanzania
Victoria Kimani Giving You (ft Sakordie) Kenya


Best Artist in African Pop.
Artiste Track Country
Daphne Calee Cameroon
Diamond Platnumz Eneka Tanzania
Locko Supporter ft Mr Leo Cameroon
Mimie Dance Fi You Cameroon
Tiwa Savage All Over Nigeria
Toofan Tere Tere Togo
Wizkid Come Closer (Ft Drake) Nigeria
Yemi Alade Marry Me Nigeria


Best Artist or Group in African Traditional.
Artiste Track Country
Bombino Akhar Zaman Niger
Gani Ndani Biiwa Yannou Benin
Hamelmal Abate Harar Ethiopia
Kibrom Birhane Eskista (ft Nassmbu Barasa) Ethiopia
Msafiri Zawose Asili Yangu Tanzania
Nobuntu Woza Ngane Zimbabwe
Reniss Mamumuh Cameroon
Zoro Gbo Gan Gbom (ft Flavour) Nigeria


African Fans’ Favorite.
Artiste Track Country
Darassa Muziki (ft Ben Pol) Tanzania
Donald Raindrops (ft Tiwa Savage) South Africa
Ebony Poison (Ft Gatdoe) Ghana
Kandia Kora Retirer Guinea
Nonso Amadi Tonight Nigeria
Nyashinki Aminia Kenya
Olamide Pepper Dem Gang Nigeria
The Dogg Shuukifa Kwii Namibia
Young Paris Best of Me (Ft Ben Bronfman) DRC

Chanzo: Millard Ayo
 
Ngoja Mange ahamasishe ,tuzo alizo Diamond na Alikiba ahesabu maumivu mapema Kiba anachukua
 
Ha ha wabongo hapa utaingia ubishi wa Dai na Ali
Aya tuanze kumtetea mnyonge
 
Topher jaxx ndiyo nani?


indulgently this track Giving You Victoria ft Sarkodie is there.

Joo Huyu Jamaa anafanya ngoma nzito mazee, ile ukiweka wire kwa speaker unahisi kitu iaingia kwa masikio.
 
Kazi ipo

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
ngoja tusio na timu tuwapigie wakenya,tuwaache wenye timu zao walumbane.
 
lini hizi tuzo, tuantaka tuzifate huko zitakapotolewa
 

Best Male East Africa

Eddy Kenzo - Uganda
Diamond Platnumz - Tanzania
Jacky Gosee - Ethiopia
Navio - Uganda
Bebe Cool - Uganda
Sauti Sol - Kenya
Dynamq - South Sudan
Nyashinski - Kenya
Darasa - Tanzania
Ali Kiba - Tanzania


Best Female East Africa

Victoria Kimani - Kenya
Vanessa Mdee - Tanzania
Ester Aweke - Ethiopia
Avril - Kenya
Lady Jaydee - Tanzania
Knowles Butera - Rwanda
Irene Ntale - Uganda
Akothee - Kenya
Dayna Nyange - Tanzania



Best African Group
Sauti Sol - Kenya
Radio & Weasel - Uganda
Toofan - Togo
Bracket - Nigeria
Mi Casa - South Africa
R2bee's - Ghana
Best Life Music - Burundi
Yamoto Band – Tanzania


Best Newcomer

Dremo - Nigeria
Medikal - Ghana
Ray Vanny - Tanzania
Preto Show - Angola
Maleek Berry - Nigeria
Mr Leo - Cameroon
Nathi - South Africa
Julz - Ghana
Niniola - Nigeria
Zani Challe - Malawi
Nsoki - Angola

Artist of The Year
Flavour - Nigeria
Diamond Platnumz - Tanzania
Fally Ipupa - Congo
Wizkid - Nigeria
Cassper Nyovest - South Africa
Davido - Nigeria
Eddy Kenzo - Uganda
Tekno - Nigeria
Mr Eazi - Nigeria
C4 Pedro - Angola
Dancehall Act of the Year
Timaya - Nigeria
Stonebwoy - Ghana
Jah Prayza - Zimbabwe
Burna Boy - Nigeria
Samini - Ghana
Patoranking - Nigeria
Shatta Wale - Ghana
Buffalo Souljah - Zimbabwe
Best Video Director
Daps - Nigeria
Justin Campos - South Africa
Sesan - Nigeria
Clarence Peters - Nigeria
Patrick Elis - Nigeria
Shammack - Cameroon
Enos Olik - Kenya
Savy Filmz - Uganda
Avalon Okpe - Nigeria
Godfather - South Africa


Best Dj Africa
DJ Spinall - Nigeria
DJ Joe MFalme - Kenya
DJ Black Coffee - South Africa
DJ Exclusive - Nigeria
DJ Kalonje - Kenya
DJ D-Ommy - Tanzania
DJ Paulo Paulo Alves - Angola
DJ Crème Delacreme - Kenya
DJ Nyce - Ghana



AFRIMMA Video of The Year
Toofan – Terre (Togo)
Davido - If (Nigeria)
Wizkid - Come Closer (Nigeria)
Runtown - Mad Over You (Nigeria)
Casper Nyovest - Tito Mboweni (South Africa)
Emtee ft Nasty C - Winning (South Africa)
Diamond Platnumz ft Ray Vanny - Salome (Tanzania)
Victoria Kimani ft Donald - Fade Away(Kenya/South Africa)
Fally Ipupa - Eloko Iyo (Congo)
C4 Pedro ft Sautisol - Love Again (Angola/Kenya)
Wande Coal ft DJ Tunez - Iskaaba (Nigeria)


Music Producer of The Year
DJ Breezy - Ghana
Masterkraft - Nigeria
Dr Fizol - Uganda
Julz - Ghana
Visita - Kenya
Tweezy - South Africa
Tud Thomas - Tanzania
Krissbeatz - Nigeria
Del B - Nigeria
Sidikiba Diabate - Mali



Best African Dancer
Kaffy Dancequeen - Nigeria
Korra Obidi - Nigeria
Nabile Danser - South Africa
Sherrie Silver - Rwanda
La Petite Zota - Ivory Coast
Manuel Canza Laurenzo - Angola
Moses Iyobo - Tanzania
Brenda Derry - Cameroon
Ghetto Triplet Kids - Uganda
Eddy Wizzy Dances - Uganda


Best Collaboration
Wizkid ft Chris Brown - African Bad Girl (Nigeria/USA)
Diamond Platnumz ft Ne-Yo – Marry You (Tanzania/USA
Babe Wodumo ft Mampinsta – Wololo (South Africa)
Ycee ft Maleek Berry - Juice (Nigeria)
Runtown ft Sarkodie – Painkiller (Nigeria/Ghana
Davido ft Nasty C - Coolest Kid in Africa (Nigeria/South Africa)
Edy Kenzo ft Alaine - Addicted (Uganda/Jamaica)
C4 Pedro ft Sautisol - Love again (Angola/Kenya)
Darasa ft Ben Pol - Muziki (Tanzania)
Fally Ipupa ft Booba - Kinane (Congo)


Song of The Year
Runtown - Mad Over You (Nigeria)
Davido - If (Nigeria )

Diamond Platnumz ft Rayvanny - Salome (Tanzania)
Babe Wodumo ft Mampintsha - Wololo (South Africa )
Wizkid - Come Closer (Nigeria)
Cassper Nyovest - Tito Mboweni (South Africa)
Fally Ipupa - Eloko Iyo (Congo)
Toofan - Terre (Togo)
Darasa ft Ben Pol – Muziki (Tanzania)
MHD - Bravo (Guinea Conakry)



BEST SOUND ENGINEER
MixMonster - Nigeria
Suka Sounds - Nigeria
Ogopa Brothers - Kenya
Tud Thomas - Tanzania
Sheyman - Nigeria
Kaywa - Ghana
Twizzy - South Africa
Bebe Philip - Ivory Coast
 
Hongera kwa wasanii wote wa tz wanao shiriki ila atakaye pata bahati ya kushikwa mkono na Mange atachukuwa bila wasi.

-Ndumilakuwili-
 
Hili kofi lingine kwa diamond maana kwa uhamasishaji huu kiba lazima apate kura nyingi.
 
kiukweli namwonea huruma diamondplatnumz, sijui watanzania aliwakosea nini. sasa kama mbongo yupo tayari kumpigia msanii wa nje tu ilimladi dai akose, sembuse hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…