Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
kwani kutoamini Mungu,Mtume au Jah ndo uchawi?
Mkuu,bora kuwa mchawi kuliko kuabudi hizi dini za kuletewa na wazungu na warabu,wametuetea dini halafu wanatudharauDini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)
Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.
Acha kupinga ulichoandika mwenyewe.Soma kichwa cha uzi kinaelezaje?
Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)[/h]
Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.
Acha kupinga ulichoandika mwenyewe.
Kichwa cha uzi umeandika [h=2]" Watanzania 34.3% ni wachawi, hawaamini Mungu, Mtume wala Jah."
Unajichanganya sana umesema watanzania 34.3 ni wachawi,hawamwamini Mungu,Mtume wala Jah.
Nikakuuliza kwamba kumtomwamini Mungu,Mtume au Jah ni uchawi?kisha unauliza nisome kichwa cha uzi.
C.C Kiranga
Kuna tofauti kati ya Mungu na Jah?...hawaamini Mungu wala Jah...
Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)
Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.
asilimia zipi hizo 34.3Inawezekana kiswahili hukijui,
Niliposema watanzania 34.3% ni wachawi,hawaamini Mungu wala Jah ninamaana pana zaidi, Makundi yote matatu ama manne yapo kwenye hizo asilimia, usiwaweke kwenye jumla ya kuwa wachawi bali hao ni sehemu ya makundi hayo.
Usitake kuwakashifu watanzania kwa sababu hawajaonyesha mwamko wa mageuzi kama ulivyotarajia.Soma kichwa cha uzi kinaelezaje?
Usitake kuwakashifu watanzania kwa sababu hawajaonyesha mwamko wa mageuzi kama ulivyotarajia.
Usipende kuwatusi na kuwadhihaki watu ambao kisiasa labda wanatofautiana na wewe. Tunajua sana unachotaka kusema.
Acha hiyo!!!
Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)
Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.
asilimia zipi hizo 34.3
we ndo hujui kiswahili,ujanja mwingi mbele giza,unapokuwa na maana pana zaidi uwe unaleta ikiwa inaeleweka siyo unafanya iwe na maana pana kwa fikra zako binafsi akilini.
Inawezekana kiswahili hukijui,