Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,005
- 20,425
- Thread starter
-
- #21
Licha ya kwamba agenda yako hapa ni kufufua hisia za udini kwa ajili ya uchaguzi wa Chalinze, kwa taarifa yako ni kwamba sio lazima kwa kila asiyeamini katika dini za kuletwa ni mchawi, anaweza kuwa ni muumini wa dini za asili. Pia ni vizuri ukatambua kuwa uchawi pia ni imani ambayo ina wafuasi wengi ambao pia ni waumini wa dini zote unazozijua.
Mkuu naomba source ya hizo takwimu ulizoweka hapo.Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)
Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.
Thanks Mkuu!Kama ulimaanisha hivyo, kwa nini ume narrow heading na statement yako.
Teh teh!Nadhani unatangulia kula mboga kabla ya ugali, takwimu ni za Tanzania, sasa wewe unataka nilete takwimu toka wapi ndipo uelewe??
Mkuu naomba source ya hizo takwimu ulizoweka hapo.
According to CIA:
[TD="colspan: 2"][/TD]
Tanzania [TD="class: category_data"]mainland - Christian 30%, Muslim 35%, indigenous beliefs 35%; Zanzibar - more than 99% Muslim [/TD]
https://www.cia.gov/library/publications/the-world-factbook/fields/2122.html
ingia na hapa
Religion in Tanzania - Wikipedia, the free encyclopedia
Acha kupinga ulichoandika mwenyewe.
Kichwa cha uzi umeandika [h=2]" Watanzania 34.3% ni wachawi, hawaamini Mungu, Mtume wala Jah."
Unajichanganya sana umesema watanzania 34.3 ni wachawi,hawamwamini Mungu,Mtume wala Jah.
Nikakuuliza kwamba kumtomwamini Mungu,Mtume au Jah ni uchawi?kisha unauliza nisome kichwa cha uzi.
C.C Kiranga
Acha kupinga ulichoandika mwenyewe.
Kichwa cha uzi umeandika [h=2]" Watanzania 34.3% ni wachawi, hawaamini Mungu, Mtume wala Jah."
Unajichanganya sana umesema watanzania 34.3 ni wachawi,hawamwamini Mungu,Mtume wala Jah.
Nikakuuliza kwamba kumtomwamini Mungu,Mtume au Jah ni uchawi?kisha unauliza nisome kichwa cha uzi.
C.C Kiranga
Kashajibu hilo swali?
Mimi siamini mungu, mtume wala Jah, ni Mtanzania na siamini uchawi pia.
Kifupi siamini supernatural powers zozote, na.zaidi ya hapo, sitaki kuamini nataka kujua.
Kutoamini mungu, mtume wala Jah ni uchawi?
Angalia post zangu huko nyuma tayari nilishajibu tena kwaufasaha japo kwa lugha ngumu jambo ninaloamini mlengwa atakuwa hajanielewa, na hiyo sio jukumu langu kumuelewesha/kuwaelewesha.
Post ipi specifically?
We have hyperlink technology, don't make me guess which post are you referring to if you can give a link in a minute.
Nimeingia kwenye hiyo link, lakini nadhani kuna kitu ulisahau(?) kucopy. angalia hapo chini kwenye red.
Dini za jadi (34.3%), Ukristo (33.5%), Uislamu (31.4%), wengineo (0.8%)
Takwimu hizi zinaweza kuwa hazina maana lakini zinatoa taswira ya imani za Watanzania.