Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ubalozi wa Tanzania wajifunze kuhakiki kujiridhisha kwanza kwani police wa South Africa wana uhuni mwingi ni wajinga sanaUbalozi wa Tanzania Nchini Afrika Kusini umethibitisha kukamatwa kwa zaidi ya raia 90 wa Tanzania na kuwekwa katika Kituo cha Lindela kufuatia msako wa Wahamiaji Haramu unaoendelea Nchini humo.
Akizungumza kwa njia ya simu na AyoTv_ Balozi wa Tanzania Nchini humo James Bwana amethibitisha kuwapo kwa Watanzania waliokamatwa kutokana na vuguvugu linaloendelea dhidi ya Raia wa Kigeni.
Soma Pia: Balozi Bwana: Video inayosambaa mitandaoni haihusiani na matukio ya vurugu dhidi ya Waafrika Kusini na raia wa kigeni, Watanzania wapo salama
"Hawa 60 wanatoka maeneo ya kwetu huko Nchini Tanzania ikiwemo Mbagala, Ilala, Tandika,Kilwa, Magomeni, Temeke, Kariakoo, Mbezi Juu, Manzese, Mwananyamala, Kiwalani, Keko, Mbezi, Kimara, Tabata, Zingiziwa na mmoja ni Tanga kwahiyo ukiangalia hapo kwa tathmini ya haraka asilimia 99 ya hawa Watu wanatoka mkoa wa Dar es salaamβββ Bwana.
Na kwa nini huo ubalozi usiwe unafuatilia taarifa za uhamiaji kuhusu watu wake?Wanasubiri wapelekewe taarifa?Wamekuwa akina "Beans"? They're there to seat back and look,huh?Mgeni unapoingia Nchi ya kigeni unatakiwa kutoa taarifa kwa Balozi wa Nchi yako ili aweze kujua kuwa upo huko kwa shughuri gani
Pia akuandikishe kwenye rosta yake ili kuweza kukupatia stahiki zako kama raia wa Nchi yake
Je watanzania wote mnaoenda S.A mnafuata huo utaratinu ?
Jibu ni hapana, wengine wanazamia na kuanza kufanya shughuri zisizo rasmi na hata kujiingiza kwenya biashara haramu:
Nani wa kulaukiwa hapo?
Ubalozi uwarudishe Home tu, kwanini wang'ang'anie huko na wenyewe hawataki. Rudini nyumbani kumenoga.Police wa South Africa huwapora passport na kuzichana kisha kuwabambikia kesi za uongo kuwa ni wahamiaji Haramu, Ubalozi huwa wanawahukumu juu kwa juu hawaka kusogea walipo wawasikilize wajue ukweli, Nchi zingine huwa hawataki huo ujinga wa police wa South Africa balozi zao hufanya uchunguzi na kujiridhisha kwanza ikiwemo kuangalia viza immigration kujua uingiaji wao, lakini kwa Tanzania wao huwahukumu moja kwa moja kwa kuamini uongo wa police ambao hawapendi wageni kwa kiwango cha kutisha
We unajua kuwa sio wote wanaoenda S.A wanaenda kwa njia rasmi:Na kwa nini huo ubalozi usiwe unafuatilia taarifa za uhamiaji kuhusu watu wake?Wanasubiri wapelekewe taarifa?Wamekuwa akina "Beans"? They're there to seat back and look,huh?
Waambie na wapuuzi wenzio huko ccm.hakuna haja ya kung'ang'ania au kulazimisha kuishi mahali ambapo wenyewe hawakutaki π
Nimeona Maeneo wanayotokea kwa Dar ni Maeneo ya masela sanaVijana wa Dar es Salaam wanapenda sana kuzamia Sauzi
Pamoja na ukweli kuwa maisha hapo Sauzi si marahisi kiasi hicho
Mkuu hilo si kweli, unaenda ubalozini halafu watakusaidia nini?Mgeni unapoingia Nchi ya kigeni unatakiwa kutoa taarifa kwa Balozi wa Nchi yako ili aweze kujua kuwa upo huko kwa shughuri gani
zingatia ushauri wangu muhimu sana kwa wangwana waliopo Africa Kusini iliyochafuka,Waambie na wapuuzi wenzio huko ccm.
Maelezo yako ni marefu lakini bado haukuelewa nililenga kipi? Asante kwa maelezo "ndefu"!We unajua kuwa sio wote wanaoenda S.A wanaenda kwa njia rasmi:
Wengine wanaenda kwa njia za panya
Pia Balozi anaweza kupata taarifa ya wanaoingia kwa usafiri rasmi kwa kuletewa habari toka mamlaka ya usafirishaji.
Lakini jukumu la kwenda kujitambulisha ubalozini ni jukumu la raia mwenyewe
Kuna wengine wanaenda kwa usafiri rasmi lakini hawataki kujulikana na mamlaka kutokana kuhofia kueleza malengo ya safari zao:
Mfano aina ya wale waliokamatwa Airport ya S.A wakiwa na Mabegi ya madawa ya kulevya,
mtu kama huyo hawezi kwenda jitambulisha ubalozini kwani safari yake ni ya matendo haramu:
Kuna hawa wanaoenda S.A kwa kuzamia usafiri wowote ule kama Gali na Meli:
Wengi hawajui hata wajibu wao wa kutakiwa kutambulika na mamlaka ya ubalozi:
Wajibu ni WA wewe raia kwenda kujitambulisha Ubalozini: